Watangazaji Sam Mahela na Mzinga wa ITV jirekebisheni

Watangazaji Sam Mahela na Mzinga wa ITV jirekebisheni

Nimeona leo niandike maoni yangu kuhusu wengi wa watangazaji wa ITV. Kuna jambo linaloipa TV hii kiburi kwa kuwa kuna mtu kawaita superbrand, yaani unakuwa the best amongst the worse. Wote tunajua TV za Tanzania are nothing to write home about.

Wameamua kujifungia na kujilinganisha na washindwaji ndio maana hakuna progress kabisa. Wale wanaoangalia Tv watakubaliana na mimi kuwa zaidi ya news, tunaangalia Isidingo na Telemonde, hakuna programs.

Nimeona juzi wameanzisha Jukwaa Huru, sijui linatofauti gani na malumbano ya Hoja, kipindi kile cha Ijumaa kimekufa na kuondoka kwa Masako. Shida ni kiburi cha Joyce na upofu wa Mengi kumuona kuwa hana mpinzani. Sasa hivi majuzi kumetokea kituko kipya cha huyo Mzinga, anayekazana ku mu emulate Gordon Gondwe pasipo mafanikio.

Unajua unapokuwa copy write ambayo ni mbaya kuliko original ndio inakua kazi. Angalieni Sam Mahela na michubuo yake na zile suti za kichina za mng'ao anavyo lower hiyo brand ni kituko. Tumesema sana kuhusu kile kituko cha Mara lakini yeye anaona ni fashion, na kwa kuwa hawafanyi research, hafahamu kuwa habari za Mara hazisikilizwi kabisa kwa kuwa wasikilizaji wanaposikia 'na mwandishi wetu toka Mara' wanahama channel. Ujumbe kwa Mzinga, hebu jaribu ku explore yourself, naamini una kitu chako kizuri tu, kuliko kuhangaika na kumuiga Gondwe, unatia kinyaa
Wivu wa kike huu

Wahedi
 
Kipindi cha dk 45 kinaongozwa na kihiyo.mtangazaji badala yakuuliza maswali yeye anasifia serikali.
 
Ben Mzinga kwa sasa ndio mtangazaji bora itv. Na siamini kama anamuiga double G, hata kipindi cha usafiri wako alianza yule mgosi wa misosi, kikamshinda lakini Mzinga amekitendea haki, hata wasio na uelewa wa magari wakitazama usafiri wako wanapata ideas za mambo ya magari.
 
mi tayari nimeshaamia azam, wewe je unasubiri nini?
 
Una mimba changa wewe..kula ndim fala sanaa...
 
kuna mzee wa mahanjumati yule mwingine wa hawavumi lakini wamo wanaboa kinyama



kwenye taarifa ya habari sasa mle mtindo wa kugeuka geuka kufata kamera si wa kiwango cha wanavyojisifu
 
Back
Top Bottom