nimeongea tuwafukuze wasio kazi warudi kwao wakasome
wewe unafikiri kwa kila anaeshi zanzibar ni mzanzibariWazanzibar ni watu wanafiki sana. Mimi nilipelekwa Zanzibar kikazi nikakaa huko kama miezi 6, Siku moja mimi na rafiki zangu wa kiume tukapanga kwenda ufukweni upande wa Mashariki ya Unguja. Tukatafuta hiace, rafiki zangu wakawahalika wasichana kadhaa twende nao party hiyo ya ufukweni. Mimi nikauliza kama kuna watu watakunywa bia wawili wavulana wakasema ndiyo. Basi nikaingia duka la kuuza bia pale Darajani tukanunua bia za kututosha watu watatu.
Tukiwa njiani kuelekea ufukweni baada ya kituo cha polisi huko shamba wale madada wakaomba dereva asimamishe gari. Wakaingia kichakani wakatoa maushungi wakarudi na vinguo vya ufukweni, yaani vifupi na vya kuteleza. Hilo halikunipa shida.
Tu kafika ufukweni tukaanza kunywa, kumbe wale dada wanapombe yao wanakunywa. Kilichoniudhi wakamaliza pombe yao wakataka bia zangu. Nikawaona Wazenji hawana maana.
hawa wanakuibia bila ya wewe kujua, ule wizi uliopo kariakoo saivi ndio wanaoufanya hapa zanzibar, naamini kama watafukuzwa huu wizi utapungua, asikwambie mtu hawa ndio wanaoiba viatu misikitini kwa sababu hela ya kuuza njugu na sigara haitoshelezi hata siku mojaSio suluhisho la tatizo uliloliandikia. Hata mkifukuza Watanganyika wote bado kadhia hio itakuwepo tu, sio kwamba Zenji ni peponi kiasi hicho, sana sana mtaleta chuki zisizo na msingi. Mtasababisha hata Wazanzibari waliopo huku waishi kimashaka. Cha msingi, kama hao unaowatuhumu ni wakosefu, basi sheria ichukue mkondo wake
shehe aibu huna weye?Kusema ukweli watu kutoka bara ndio mnaotuharibia Zanzibar, mnakuja Zanzibar na maadili yenu machafu mkifika hapa mnatuharibia watoto wetu. Mimi mnaniudhi kweli kwani hamuwezi kujiheshimu.
Unamkuta mwanamke wa kibongo amevaa nguo matiti yote yako nje na nyuma anatikisika kama mkia wa samaki kiasi ambacho hata kutembea na motto wako unashindwa.
Kesi ya pili ni hi indo ilonleta leo hapa, kama kawaida yangu kila mwezi nampelekea mzazi hela ya matumizi yake binafsi, sasa leo mwenyewe ametoka anaenda mjini madukani hata anafika dukani hela na simu haimo ndani ya mkoba. Alinipigia simu na kunieleza na kilichonikasirisha zaidi ana uhakika kua waliomuibia ni wale machinga waliopo pale mjini wanaoza njugu na sigara maana ukifika pale wanakungangania kama umewaita.
Ushauri wangu, ingawa tumeungana lakini serekali iwafukuze watanganyika wote wasio kazi sisi tumeshawachoka kutufanyia fujo hapa Zanzibar.
hamna kula kwetu, tatizo lako bado una fikra zile za kale, zimeshapitwa na wakati sasa
shehe aibu huna weye?
Vipi wataka tibua mabo tena ?
Hebu tutake radhi wazanzibar wenzio kwa kuleta ubaguzi huu ambao bila shaka mwisho wake itakula kwetu
izo ndio sera zenu, hakuna muarabu anaekuja hapa na waliobakia kwani ao vingozi wakubwa wanatoka wapi. si uko tanganyikaMkuu mbona kwenye BMK watanganyika wamepuuzia ubabe unaoendelea na wametoka nje na watu maarufu huko zanzibar wamebaki na wanaendelea kupiga mpunga?
Naamini kama kweli wazanzibar mnamaanisha mnachokisema na kwamba siyo unafiki,mkae kwanza mkubaliane vinginevyo tutajua ni unafiki ule ule wa mkoloni aliyewatawala(waarabu).
Mkuu Nitajie jina la Ukoo wako nikuambie wewe asili yako wapi na sio kujidai dai tu Zenji ni Kwenu.... Karume alikuwa ni Mutu ya Malawi, Mwinyi Kisarawe... hao viongozi wenu ni mifano tu... Jussa kwao India muhahahaha
rudi kwa wazazi wako ukafundishwe hishima na ndio maana unaishia mitandaonikwa ku pretend nawapa 100 kuna likizo yangu moja nilikuja huko zenji kwenu nikaenda bwawani nusu nizimie nilichokiona,coz nahisi tuliokuwa tumejisitiri ni sisi wageni,tulivaa suruali na vitop,lakini hao wazenji ni vi hot pants tu mwili wote uko uchi,kwa kujisitiri mchana kweli mnajitahidi,na huu mchezo wa 0713 huko ndio balaa nahisi ndio mmewaambukiza bara
msukule ni neno la kiswahili likiamanisha mtu ndondocha upo hapo.
mada nyingine bwana, yaani ni kukaribisha matusi tu humu jamvini.kusema ukweli watu kutoka bara ndio mnaotuharibia zanzibar, mnakuja zanzibar na maadili yenu machafu mkifika hapa mnatuharibia watoto wetu. Mimi mnaniudhi kweli kwani hamuwezi kujiheshimu.
Unamkuta mwanamke wa kibongo amevaa nguo matiti yote yako nje na nyuma anatikisika kama mkia wa samaki kiasi ambacho hata kutembea na motto wako unashindwa.
Kesi ya pili ni hi indo ilonleta leo hapa, kama kawaida yangu kila mwezi nampelekea mzazi hela ya matumizi yake binafsi, sasa leo mwenyewe ametoka anaenda mjini madukani hata anafika dukani hela na simu haimo ndani ya mkoba. Alinipigia simu na kunieleza na kilichonikasirisha zaidi ana uhakika kua waliomuibia ni wale machinga waliopo pale mjini wanaoza njugu na sigara maana ukifika pale wanakungangania kama umewaita.
Ushauri wangu, ingawa tumeungana lakini serekali iwafukuze watanganyika wote wasio kazi sisi tumeshawachoka kutufanyia fujo hapa zanzibar.
Wazanzibar ni watu wanafiki sana. Mimi nilipelekwa Zanzibar kikazi nikakaa huko kama miezi 6, Siku moja mimi na rafiki zangu wa kiume tukapanga kwenda ufukweni upande wa Mashariki ya Unguja. Tukatafuta hiace, rafiki zangu wakawahalika wasichana kadhaa twende nao party hiyo ya ufukweni. Mimi nikauliza kama kuna watu watakunywa bia wawili wavulana wakasema ndiyo. Basi nikaingia duka la kuuza bia pale Darajani tukanunua bia za kututosha watu watatu.
Tukiwa njiani kuelekea ufukweni baada ya kituo cha polisi huko shamba wale madada wakaomba dereva asimamishe gari. Wakaingia kichakani wakatoa maushungi wakarudi na vinguo vya ufukweni, yaani vifupi na vya kuteleza. Hilo halikunipa shida.
Tu kafika ufukweni tukaanza kunywa, kumbe wale dada wanapombe yao wanakunywa. Kilichoniudhi wakamaliza pombe yao wakataka bia zangu. Nikawaona Wazenji hawana maana.
Halafu angalieni Jina analotumia lenyewe La Kitanganyika.
Mie nawaambia huyu sijui kama hajatendwa
hivi kuna vijana wanatoka bara kwenda kutafuta maisha zanzibar?!!!! kanchi kenyewe kanategemea kila kitu misaada kwa magaidi!
rudi kwa wazazi wako ukafundishwe hishima na ndio maana unaishia mitandaoni