master eagle
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 342
- 88
Aaaahaaaa kudadeki ngoja mliowataja waje muone watakavyotoa povu
na wa nyuma ni Baba V
huyo wa baada ya kitenge ana kishuzi nomah!
ni kweli nimekusoma mkuu! lakini its just a joke ambayo iko kwa watu wazima ndiyo maan nika joke! kwa utani zaid, very sorry kama nimekukwazaSi vizuri kuongeza utani wa aina hiyo kwa watoto.
Enzi hizo, mwenye kitenge hapo kati sijui ni nani?![]()
Enzi hizo, mwenye kitenge hapo kati sijui ni nani?![]()
ha haaa, rafiki umenipatia!naanza, wa kwanza ni Asprin, akafuatia, bigrita, huyo wa mbele hapo ni Mike mackee, akaja Kaizer, Mtambuzi, Dark City, Arusha one numa ya mwenye sketi ila mwenye sketi ni Fixed Point. nyuma ya Arusha one ni cacico Mzee wa Rula, Jiwe Linaloishi, funza dume, Billie, EMT