Hakuna nimpendae siasani zaidi yako. Nna-kupenda kuliko unavyofikiria.
Haahaaaaaaaaa! The UNPREDICTABLE ME!
Jobless huchie!
umeukubali binamu heee!
umeona vichwa vilivyotulia katika fani zao tupe :A S new:s zingine mpya
1. ladyfurahia nashangaa hii thread nilikuwa sijaiona. Nashukuru sana kwa kuthamini mchango wangu.
2. Wale washindi waliopatikana lini tutaanza kuwaona kwenye bongo movies..? ..lol
Cc: Arushaone, Mamndenyi
Watu tumenuniana tuliwashka sehemu mbaya.
Eti anakwazika watu wakiandika vibaya farkhina inamhusu kwani
hivi Preta alileta thread gani yenye kuelimisha mwaka huu?
Na Simplicity je?
Huyo b real kaleta thread gani kongosho nae na pacha wake Kongolo.
ladyfurahia naomba link za topic za majina hapo juu kabla sijakusemelea kwa mwenyekiti unapendelea watu.
Afu nimechekaaaa sana Asprin na Bujibuji wapo kwenye kundi la pumba na mipasho.
Nani ameiba password yako.
Ahaha una nini na moderator kila siku una hofu ya kufutiwa thread??!
Kwanini ufikirie hivyo?
Maskini Mamndenyi ! Mpaka umentia huruma za kiukweli sasa!
EXCUSE zote unanipa za nini my dear ?
Hivi hunizoei tu? Miaka yote hii ?
Na mbona nilishakwambiaga kwamba humu mtandaoni , mie sitokwagi povu , gesi with related matter !.
Kufikia mie kukwazika humu ni shughuli pevu!
Na ikitokea mtu kanikwaza hua namtokea kwa Piter Mizengo .
Mie humu ni mzaha , maskhara , jocks kwa kwende mbeleni .
Hebu rejesha hizo sorry ghalani , utazitumia kwa matumizi mengine! Mi na wewe utani mbona tunao zamani ?
Imekuaje leo ushindwe kunisoma!
Nafika kudhani mie ndy nikutake MSAMAHA WEWE kwa kushtuliwa na maneno yangu (ya mzaha)
sorry Mamndenyi ! Umenisimanzisha ujue !