Watambue wale waliong'ara kwa thread zao mjengoni

Watambue wale waliong'ara kwa thread zao mjengoni

Siasani yuko FaizaFoxy haeleweki hata anachokipenda, namkumbuka sana
na uzi wake wa Nyerere hakuifanyia tz chochote (samahani kama nimekosea kidogo topic)
Niliusoma Sunday kabla sijaenda church, nililia sana nilipoona FaizaFoxy amekomaa
kwamba hajaona alichokifanya Nyerere (R.I.P); was Ritz ndo alikuja akaupooza
ule uzi, but siwezi kumsahau FaizaFoxy

Nyerere kaifanya Tanzania kuwa maskini wa kutupwa alipokuwa madarakani. Nini zaidi ya umasikini aliouleta?

Ukweli ni mchungu, lazima ulie. Ule uzi unaitwa Nyerere Alifanya Makosa Makubwa na sivyo ulivyoandika wewe na link ni hii hapa: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/522045-nyerere-alifanya-makosa-makubwa.html
 
Last edited by a moderator:
Habarini marafiki zangu

Awali ya yote napenda kuleta kwennu wale walioongoza hapa jamvini kwa mwaka huu 2013
kwa kuleta thread za kujenga na kubomoa , zilizojaa pumba, story, mipasho, zenye kuelimisha
na za mapenzi, zenye mashindano mbalimbali hapa jf na zenye kuleta mapatano kati ya mtu
na mtu, au jamii kiujumla za zenye kuchekesha ilimradi tu watu waburudike na waienjoy kuwepo
mjengoni humu bila ajizi nawasogeza wale almaarufu humu mjengoni kila iitwapo leo wao
wanakuwa na mada murua za hapa na pale

1. Katika kuelimisha na kuonya na kurekebisha jamii iende katika mstari ulionyooka wafuatao
walijitahidi kutoa uzi hapa mjengoni hususani naangalia pande zote humu jf

a) MziziMkavu, Mtambuzi, EMT, ladyfurahia, AshaDii, Preta, Tuko, The Boss Nicas Mtei
na wengine ambao nimewasahau mtawamention huko chini

2. Wale walioleta uzi za story mbalimbali zingine ziliwahusu maisha yao kiujumla zingine zilikuwa na
na Picha mbalimbali ilimradi tu kuwafurahisha na kuwachangamsha na kuwatia moyo wanajf humu
mjengoni ni kama wafuatao:

b) Mtambuzi, Pasco, Mjeda, Inkoskaz, Bujibuji, Mentor, snowhite, Himidini, Nicas Mtei
na wengine ambao kwa namna moja ama nyingine inimewasahau kuwalist hapa mtaniisaidia kuwalist huko chini

3 Wale walioleta mada zenye mahusiano au mapenzi sana ambazo zilikuwa ni za kujenga na kuelimisha
na kuwaweka watu katika mstari uliionyoika katika ndoa zao ni hawa wafuatao:

c) Simplicity, Fixed Point, No matter, Himidini, Kongosho, Kongolo, M.E.M.A, GAZETI,
Mokoyo, Cruel mpole, msemakweli 10, @@Smile, Adharusi, B'REAL, Eiyer, Braine

4.Wale walioleta Mashindano mbalimbali hapa jamvini na kuweza kufanikisha kuwapata washindi
wa tuzo mbalimbali mjengoni humu nao ni

d) Arushaone, ladyfurahia, na kuna mwingine yeye alijifungia tokana majanga yaliyompata
mwaka jana 2012 ambapo alianzisha shindano la kumsaka mrembo bora wa cc akapatikana
kisha yeye muandaaji akatokomea kusikojulikana na kuibukia july mwaka huu 2013 (jinale linahifadhiwa)

5 Wanaoongoza kwa kuleta thread zenye pumba, mipasho na mambo mbalimbali yenye kuleta vichekesho
vioja na vitimbi mbalimbali jamvini humu ni:

e) Judgement, Lady, SnowBall, Bujibuji, Asprin, Nduka Original, Nyani Ngabu,

6. kuna thread zingine hazieleweki kama zinaelimisha au zinajenga, zinafurahisha sasa sijui niizitaje
nao ni :

f) vivian, kiwatengu, Tripo9, mimi49, TANMO na wengineo wengi niliowasahau wawekeni hapa

Awali ya yote napenda kusema sijamsema mtu hapa vibaya ila
nimetoa mada mbalimbali ambazo mwaka
huu ziliongoza hapa jamvini na zilitupa hamasa ya kuzichangia na kufurahia kiujumla kama kuna mtu
nitakuwa kwa namna moja ama nyingine nimekwaza hapa
BASI NAOMBA RADHI KWAKE anisamehe
na tupendane daima milele.

Nawatakia kila kheri katika shughuli, masomo, kazi zenu zote,

Wasalaamu

Ladyf

N:B. Mods pls naomba msiondoe hii thread hapa pls pls

cc: Mamndenyi, Passion Lady, Lady doctor, charminglady, watu8, KakaKiiza, Kipaji Halisi, Nicas Mtei, LiverpoolFC, pilipo, mwaJ, mwallu, Heaven on Earth, figganigga, @Firkina, 24hrs, Jiwe Linaloishi, YoungMaster, Invisible, Maxence Melo, gfsonwin, FirstLady, sweetlady, na marafiki zangu wote niliowasahau kuwataja hapa karibuni mlete wengine watoao uzi hapa jamvini .

Sioni hizo mada ulizotoa naona post yako imejaa majina tu. Au sijakuelewa?
 
sorry bestito usijali nakutoa ngoja nimulize shem Arushaone namna ya kukutoa hapo
Duh!!!Naomba uniondoe kwenye hio list yako tafadhali kama hutojali maana sistahiki kuwepo kabisaaa...kati ya watu wachache wanaoanzisha thread mimi ni mojawapo!!
Cc Eli79
 
Last edited by a moderator:
sijakuelewa bestito poo ndo maana yake nini? hebu nifafanulie
Bujibuji muulize Mwita Maranya au Asprin mleta mada yupo kundi gani?
Cc aione Paloma
ila mie nimependa alivyoomba poo kwa mods!!
Prevention is better than cure loo

hebu nenda kacheki kule MMU utaona
hivi Preta alileta thread gani yenye kuelimisha mwaka huu?
Na Simplicity je?
Huyo b real kaleta thread gani kongosho nae na pacha wake Kongolo.
ladyfurahia naomba link za topic za majina hapo juu kabla sijakusemelea kwa mwenyekiti unapendelea watu.
Afu nimechekaaaa sana Asprin na Bujibuji wapo kwenye kundi la pumba na mipasho.

nini kukufurahisha besti na raha nimekupa ili upunguze stress za hapo ofisini kwako
hahahaha umenifurahisha ladyfurahia, JF ni kila kitu

hata mie ni mtu wako pia
Watu na watu wao...

hahahahhahahahahaaaa umeniongezea siku leo besititoooooo
Heaven in desert mmemsahau kwa updates za diamond. Japo katubania kuhadithia ubinamu wa penny na domo.

mhm! wewe wasema!
ki2 gani kimekutambulisha?
Ahaha una nini na moderator kila siku una hofu ya kufutiwa thread??!

unafikiri nani atakusifia sifa sijisifie mwenyewe bestito lazima nijipe raha kwa raha zangu
una lingine la kusema?
... duh! ladyfurahia una uhakika gani kama na wewe threads zako zinaonya na kurekebisha jamii..?... au ndo kujipigia filimbi nawe usikike?

nini kukazana besti ni kukimbia kwa mwendo kasi nawe uwemo ila wanifurahisha kwa comment zako bestito
hahahaaaaa tusiemo mwakani TUKAZANE

Mwambie atunge kitabu nami nitakuwa proofreader wake
Mi napenda thread unazoanzisha Mentor..Your stories are so entertaining,na zinafundisha na kuelimisha sanaa tena sanaaa..You deserve to be on that list...ukichapisha kitabu unipostie uniwekee na signature yako!!!!:smile-big:
 
uilikuwa unataka nitoe na mada zao au ulimanisha nini bestito?
kwa kweli kuhusu kutoa mada zao hapa sikuwa na muda kwani nilibanmwa sana hapa ofisini subiri wakati mwingine nitatoa na mada zao uone nani amefunika zaidi ya hawa wote tuombe uzima tu bestito
Bujibuji muulize Mwita Maranya au Asprin mleta mada yupo kundi gani?
Cc aione Paloma
ila mie nimependa alivyoomba poo kwa mods!!
Prevention is better than cure loo

hivi Preta alileta thread gani yenye kuelimisha mwaka huu?
Na Simplicity je?
Huyo b real kaleta thread gani kongosho nae na pacha wake Kongolo.
ladyfurahia naomba link za topic za majina hapo juu kabla sijakusemelea kwa mwenyekiti unapendelea watu.
Afu nimechekaaaa sana Asprin na Bujibuji wapo kwenye kundi la pumba na mipasho.

hahahaha umenifurahisha ladyfurahia, JF ni kila kitu

Watu na watu wao...

Heaven in desert mmemsahau kwa updates za diamond. Japo katubania kuhadithia ubinamu wa penny na domo.

Ahaha una nini na moderator kila siku una hofu ya kufutiwa thread??!

... duh! ladyfurahia una uhakika gani kama na wewe threads zako zinaonya na kurekebisha jamii..?... au ndo kujipigia filimbi nawe usikike?

hahahaaaaa tusiemo mwakani TUKAZANE

Sioni hizo mada ulizotoa naona post yako imejaa majina tu. Au sijakuelewa?
 
hivi Preta alileta thread gani yenye kuelimisha mwaka huu?
Na Simplicity je?
Huyo b real kaleta thread gani kongosho nae na pacha wake Kongolo.
ladyfurahia naomba link za topic za majina hapo juu kabla sijakusemelea kwa mwenyekiti unapendelea watu.
Afu nimechekaaaa sana Asprin na Bujibuji wapo kwenye kundi la pumba na mipasho.

Yani ngashoka!!!

Uzuri alishaomba radhi mapema lol

BTW nimepamiss sana Homeboys.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom