Watambue wale waliong'ara kwa thread zao mjengoni

Watambue wale waliong'ara kwa thread zao mjengoni

This lara 1 looooh, japo mara zote nasoma sana thread zake ila huwa sichangii
but lara 1 oooooh, that lady crazy kweli kweli.

Nimemsoma sana,
Ningepata mchoraji ningempa picha ya lara 1 amchore japo simfahamu ila nimemjua
kutokana na thread zake.
 
Last edited by a moderator:
Siasani yuko FaizaFoxy haeleweki hata anachokipenda, namkumbuka sana
na uzi wake wa Nyerere hakuifanyia tz chochote (samahani kama nimekosea kidogo topic)
Niliusoma Sunday kabla sijaenda church, nililia sana nilipoona FaizaFoxy amekomaa
kwamba hajaona alichokifanya Nyerere (R.I.P); was Ritz ndo alikuja akaupooza
ule uzi, but siwezi kumsahau FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
Wala hajakukosea.
Wa kukazana sio wewe tu!
Akina sie ndiyo twatakiwa tukakazane kwa speed ya Airforce1!
Huoni hapo tumewekwa kwenye washusha Pumba! So far naenda ongeza mkazano , mwakani niwe kwenye washusha Nafaka.
 
Yaani ulilia kwa kuwa Nyerere kapondwa ama kwa kuwa FF alikomalia kuwa Nyerere hakufanya kitu?

Siasani yuko FaizaFoxy haeleweki hata anachokipenda, namkumbuka sana
na uzi wake wa Nyerere hakuifanyia tz chochote (samahani kama nimekosea kidogo topic)
Niliusoma Sunday kabla sijaenda church, nililia sana nilipoona FaizaFoxy amekomaa
kwamba hajaona alichokifanya Nyerere (R.I.P); was Ritz ndo alikuja akaupooza
ule uzi, but siwezi kumsahau FaizaFoxy
 
Mi napenda thread unazoanzisha Mentor..Your stories are so entertaining,na zinafundisha na kuelimisha sanaa tena sanaaa..You deserve to be on that list...ukichapisha kitabu unipostie uniwekee na signature yako!!!!:smile-big:
Mentor rocks for real.....me Ilike his stories pia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom