Watambue madalali wa shetani

Watambue madalali wa shetani

Umenyosha maelezo umeshindwa kuwataja mimi naruhusiwa kuwataja nikusaidie
 
Umemsahau Malisa na mkewe, na yule Mchungaji mbunge Viti Maalumu,Kakobe, na yuko mmoja hivi anakanisa pale tabata chama MZEE fulani hivi ana mvimvi. Yote haya majizi tu
Kakobe ndio muhubir pekeee anayepiga neno hana mbwembwe wala kulembalemba hanaga mahubir ya kupakana mafuta ..
 
Geor Davie ni Nabii wa uongo,Muhuni wa wanawake na Tapeli

Mwamposa ni nabii wa uongo na Tapeli

Lusekelo ni mhuni, chapombe na mpenda pesa

Gwajima ni mpenda pesa, Mwanasiasa na Msanii ila mwenye ujasiri wa kuwatetea watanzania.

SAFINA RADIO ina watumishi wapenda pesa wasio na huruma kwa wamama masikini wanaochukua pesa zao. wa kwanza ni mkurugenzi wao DANIEL LEMA.

Akina manyau nyau na Sheikh sharrif majini ni wasanii wenye majini na ujinga kichwani.

Wengi wao wanarushwa na Channel 10.

Ashakhum si matusi
Umemsahau mama mwenye mashule ya kishua na bangaloo maeneo ya ushuani kule
 
Kwa wasiojua, Maji na mafuta vitolewayo kwa wingi kwenyee baadhi ya haya makanisa ya mitume feki ni uchawi! Why, Maji hayo baadhi hununua Uganda au Kongo, huko kuna branching za visima vya nabii mmoja Wa nigeria, ili wale wasionapesa ya kuruka Nigeria waende huko kununua, na wengi huvuka na madumu..na huleta makanisani kwao..ndio maana lazima ununue kurudisha gharama!
Pili nguvu ya Maji haya ni kushika akili za waumini..wawe wajinga, hawasikii kitu juu ya Mtumishi, watumwa nk. Maji haya ni uchawi pia..humsaidia mtu shida yake ili amini mungu katenda, na ili muujiza huo udumu lazima aendelee na matumiz ya Maji au mafuta.hapo hana tofauti na anaetumia hirizi ktk mambo yake !
Mwenye kumtegemea mungu hutegemea neno na sio mafuta wala Maji ya upako!​
 
mfano bulldozer anayo hiyo tabia japo yeye anaruhusu muumini kuja na maji yake 'ayafanyie maombi'...angalau hiyo si tatizo ila yale mafuta hapana aisee
 
mambo haya yalitabiriwa na yanazidi kutendeka kila kukicha, mara nabii huyu mara nabii yulee,,yan full manabii siwezi kusema ni wa uongo au wa kweli,,ila hapa jambo la msingi ni IMANI YAKO NDIO ITAKUOKOA,,ENDELEA KUMCHA MUNGU KWANI YEYE NDO CHANZO CHA MAARIFA.
 
Hapo safina radio napingana na wewe, kama ni msikilizaji mzuri wa safina utajua sadaka yao nyingi inaenda kujengea minara na sio kunufaisha wahudumu au mmiliki wake

Wewe kunipinga haimaanishi kuwa nimeandika uongo.

Ukweli utabaki kuwa "SAFINA RADIO YA ARUSHA NI MATAPELI NA WANYONYAJI WA PESA ZA WAMAMA MASIKINI "

- Unajua ni kwa nini Goodluck Sandy alitolewa pale?

- Unajua ni kwanini Mwabukusi aliondoka pale?

- Unajua ni kwanini Luca ameondoka pale hivi majuzi na sasa waumini lukuki wamemfuata?

- Hivi DANIEL LEMA ambaye ni mkurugenzi wa SAFINA RADIO ameshajitoa katika board ya Tanzania Breweries Limited (TBL ) ? na yeye ndie alikuwa Mwenyekiti.

- Unajua kuwa sikuhizi wanauza hadi maji ya kunywa wanayoombea pale na wamedizain vikopo vyao, na wakati wao ndio walikuwa wanamponda Geor Davie kwa kuuza maji ya upako?

Hahaha....Ila laana ya kula sadaka ya wamama mpaka wajane waishio kwa shida na vibiashara vidogo itawatokea puani nyie watumishi wa SAFINA.

Nimeandika vitu ambavyo nina uhakika navyo. MATAPELI HAO.
 
Umemsahau mama mwenye mashule ya kishua na bangaloo maeneo ya ushuani kule
Mama Rwakatare pia ni TAPELI mkubwa sana aliyeshindwa kusimamia neno la Mungu linalokataza kuchanganya Mafuta na Maji (Dini na Siasa)

Akashindwa kumpa Kaisari ya kwake na Mungu ya kwake

Yote hayo ni ili kujipendekeza kwa viongozi wa CCM na kulinda mali zake.

Mungu atawaadhibu kwa matendo yao.
 
mshana jr huu uzi mzuri sana kwani umegusa mifupa ya watu...ukisikia yalaaah

Safi sana na Mungu akubariki kwasababu wanamchezea sana.
 
Back
Top Bottom