Watambue madalali wa shetani

Watambue madalali wa shetani

Tutawatambuaje hali ya kuwa wanatenda miujiza ya kuponya na kufufua kama manabii walio tangulia?

Kuhusu utajiri wao ni neema zitokanazo na kulishwa shambani mwa Bwana.
Waumini tumeaswa kwenye maandiko matakatifu tuwalishe watumishi wa Mungu.

Hata wateule wa zamani kina Daudi na Suleimani walikuwa matajiri wakubwa kupitia ukulima, ufugaji na uhunzi wa zana mbalimbali.

Mkuu mshana jr unataka kutuaminisha ya kwamba dhana ya uwepo wa dini ni utapeli uliotukuka?
Je, hujawahi kushuhudia matendo makuu ya Mungu ktk kuishi kwako hapa Duniani?

Tusiwahukumu kwa matendo yao na umiriki wao wa mapambo ya Dunia, vyote tutaviacha hapahapa.

Kwa Mungu kila goti litapigwa.
Kila mmoja apambane kuurithi ufalme wa Mbinguni.
soma maandiko upate maarifa...., ilipoandikwa kuwa watakuja manabii wa uongo ulidhani watakuja lini? ndio hawa tunaowaona sasa. Kuponya si ishu maanda imeandikwa shetani atawapa uwezo wa kufanya miujiza hata kushusha moto kutoka mbingini, we hebu fikiria siku nabii aombe moto ushuke na kweli ushuke si watu watamwamini sana!!! wanadamu tunaangalia miujiza lakini hatutaki kusoma maandiko.
Hakuna mtumishi wa Mungu mpenda show off, anayegawa watu kwa kushabikia siasa, mara wengine wanaombea watu kulingana na kiwango cha sadaka wanachotoa, huuuu ni utapeliiii sema tu ndio hivyo serikali inashindwa kuwashughulikia maana wanatumia mwamvuli wa dini
 
Kweli kabisa.
 
Kwa kweli hili kama janga fulani hivi.

Mi nina maza yangu mdogo kawa mteja wa huyo bulldozer mwamposa basi kutwa ni stori zake tu huyo jamaa na jinsi anavyosaidia watu ukijumlisha na yeye mwenyewe maana ni mfanyabiashara sasa anadai tangu aende kule biashara yake iliyokuwa inataka kufa imefufuka ghafla na anauza kweli kweli yani! Hapa alipo anatusumbua wanae tumpe picha zetu azipeleke zikaombewe ili tulio mazuzu darasani tuwe vichwa,tusio na kazi tujaliwe kuzipata nk.. Imekuwa kero sasa maana kila siku simu akitaka tumpelekee hizo picha....hapa yenyewe kila wiki tunaletewa mafuta na maji ya kunywa 'aliyoombea' jamaa hahahaha
 
Hawa si wengine bali ni mitume na manabii wa uongo (sio wote, namaanisha mitume na manabii wa uongo)
Utawambuaje?
Hawatoi bali wanapokea
Hawafuati bali wanafuatwa
Hawachangi bali wanachangiwa
Hawalishi bali wanalishwa
Hawahudumii bali wanahufumiwa
Kwao kila kitu ni fedha
Mahubiri yao ni utajiri na kutenda miujiza... Wanashindana kwa vitu vya kidunia.. Utajiri, vyombo vya usafiri, (magari boat, meli ndege nk) mavazi ya bei ghali, majumba ya gharama kubwa nknk... Ni watu wasiopitwa na fasheni yoyote
Ni wachoyo na ni wa binafsi wamepiliza! Pesa zao zinazotokana na kuwakamua waumini maskini na wenye uhitaji hawazitumii kwa manufaa ya jamii bali wao wenyewe na watu wao wa karibu
Pamoja na mabilioni wanayomiliki daima utawakuta mitandaoni wakishindana kupost vitu wanavyomiliki vya bei ghali...
Wakiamua kuwekeza pesa zao hizo ni kwenye biashara na kamwe sio kwenye huduma za kijamii kwa wasiojiweza kama lishe elimu afya na vituo vya misaada kwa walemavu yatima na yeyote mwenye uhitaji wowote .. Haya sio yao haya hayawahusu. ..
Watu wa kaliba hii wanaojipenda kujikweza na kupenda kutukuzwa, wapenda Mali na ibada za karamu zilizojaa ukakasi mwingi ni makuwadi wa kuzimu na madalali wa shetani

NB: Niombe radhi kwa wale watakwaza na hii mada
Hakuna cha kuomba radhi hapa,unapoeleza ukweli unatakiwa kukaza sura km gumegume,
 
Hapa kuna ukweli flani hivi.Kuna dhehebu moja silitaji jina,nilikutana na muumini wake wameambiwa watoe zaka ya mwaka mzima ambazo hawajatoa na wamepewa deadline wawe wamekusanya,nikajiuliza hivi vitu mbona vinafanyika kibabe hivi,walikuwa wapi kuwapa mafundisho waumini wao ili wawe wanatoa kila mwezi?na anasema kwa sheria ni kuwa ikifika hiyo tarehe hujatoa unatengwa na kanisa..
 
Sasa mshana ndiyo nini hivyo wakati nilikuwa nishapanga kuanzisha huduma ya kuponya na kanisa langu liwe kubwa la kifahari sasa ushanikatisha tamaa naona uvivu kuanza huyu mungu wa baphomet anasaidia baadhi ya watu.....
 
hahaha anzisha tu waumini tupo wengi
 
Kwa kweli hili kama janga fulani hivi.

Mi nina maza yangu mdogo kawa mteja wa huyo bulldozer mwamposa basi kutwa ni stori zake tu huyo jamaa na jinsi anavyosaidia watu ukijumlisha na yeye mwenyewe maana ni mfanyabiashara sasa anadai tangu aende kule biashara yake iliyokuwa inataka kufa imefufuka ghafla na anauza kweli kweli yani! Hapa alipo anatusumbua wanae tumpe picha zetu azipeleke zikaombewe ili tulio mazuzu darasani tuwe vichwa,tusio na kazi tujaliwe kuzipata nk.. Imekuwa kero sasa maana kila siku simu akitaka tumpelekee hizo picha....hapa yenyewe kila wiki tunaletewa mafuta na maji ya kunywa 'aliyoombea' jamaa hahahaha
Mi nafikiri tunashindwa kutofautisha mambo hapa.Wale watu si kwamba wao wanakuponya au wanatatua shida zako,bali imani yako.Wanachokifanya kikubwa ni kukuongoza tu ili imani yako itokee kwenye maandiko matakatifu.Ndio maana mzazi wako alipoongozwa na huyu mchungaji na yeye akaweka imani basi akaanza kuona mabadaliko.Kwa mjadala huu tutaaminishwa kuwa watumishi wote ni manabii wa uongo.Ni seme tu kwamba hawa jamaa wamejikita kutafasiri neno la mungu physically yaani katika mambo ambayo ni matamanio ya mwili na si spiritually.Kutafasiri neno la Mungu kiroho unahitaji roho mtakatifu,hapo dipo nguvu za kumbadilisha muumini zinakuwa za kudumu.Kimsingi hawa manabii wengi wao wamekosa nguvu za roho mtakatifu ndio maana wamebaki kutumia nguvu zao wenyewe kuwaaminisha watu kwa kuonyesha utajiri.Na kwa sababu imani yako ndio inakuponya basi wanajithidi wavute imani za watu ili waonekane wana Mungu.Changamoto ni kwamba wale wanaotengeneza imani zao kwa kuangalia uwezo wa nje wa hao jamaa wanakuwa katika matatizo yasio isha kila siku unakuta wanatoka kwa huyu wanaenda kwa huyu matatizo yao yanapoa kwa muda tu.Utawatambua kwa kauri zao,wanavyowasifia hao manabii kwa majina bila kutambua jina la kristu.
Hawa manabii ni mara chache sana kuubiri injiri ya kutoa kwa masikini,kwa wajane,kwa wakimbizi,kwa wagonjwa,na kwa yatima au kwa kifupi injiri ya Upendo kwa wengine.Kwa sababu injiri hiyo ndipo kristu alipo na wao hawapo kwa ajili ya kristu hapo ndipo nakubaliana na mleta mada.
Tambua ndugu kuwa mtu yeyote anaweza akauubiri injiri,lakini si kila mtu anaweza kuubiri injiri takatifu,Mtu yeyote anaweza kubeba Biblia na hata kuisoma mpaka akapata Phd,lakini si kila mtu ana uwezo wa kubeba Biblia takatifu,na kuisoma.Hata sadaka wanazotumia kujenga na kununua magari ya kifaari na ndege,si kwamba wanatumia sadaka takatifu kwa sababu mtu yeyote ana uwezo wa kutoa sadaka awe ameua,awe ameeiba wao wanachukua tu,ila si kila mtu ana uwezo wa kutoa sadaka takatifu na hata kuitumia sadaka takatifu utaongozwa na roho mtakatifu.Si kwamba yesu Kristu waumini waliokuwa wanamfuata walikuwa hawatoi sadaka za kumfanya awe tajiri kimwili,bali alizigeuza na kuwa sadaka takatifu kwa kuimiza Upendo kwa walio masikini na wenye shida.
 
umenena vyema ndugu
 
Mimi nachukia watu wanaotoa huduma za Mungu halafu wanaweka hela mbele tena kwa kusema kabisa huwa siwaamini hata siku moja
ni kweli ma dear, eti kuombewa hela na wingi wa hela yako ndio ukubwa wa maombi
Hakika tunaangamia kwa kukosa maarifa, naona tunguri za mshana zimesaidia kweli leo

teh teh
mshana jr , wazee wako hawataki kondoo wa Bwana waharibike eeeeeh
nauliza tu maana duuuh umenena vyema
 
Dhima ya mada zangu nyingine nyingi ni kuonya kukumbusha, kutoa tahadhari kukumbusha na kuelimisha
 
hii ya leo ni kibokoooo
nimefurahi sana, kumbe uko pande zote mkuu maana naona watu wakishindwa kulala usiku wanakukumbuka sana,
hii imedhihirisha kuwa ushauri pande zote uko makini
big up mkuu
 
ni kweli ma dear, eti kuombewa hela na wingi wa hela yako ndio ukubwa wa maombi
Hakika tunaangamia kwa kukosa maarifa, naona tunguri za mshana zimesaidia kweli leo

teh teh
mshana jr , wazee wako hawataki kondoo wa Bwana waharibike eeeeeh
nauliza tu maana duuuh umenena vyema
Wamezidi sana yani mpaka tunawashtukia khaaa
 
Nahisi hili fungu linawatetea sana wahubiri wetu lakini they have to watch out ,not to that extent
 
Attachments

  • Screenshot_2017-09-19-14-55-11.png
    Screenshot_2017-09-19-14-55-11.png
    18.7 KB · Views: 100
Huwezi kumiliki mabilioni na kulala kwenye nyumba ya gharama mno huku nyumba ya Mungu unayotumia kupata utajiri wako haina tofauti na pagale

mshana jr
Watu hao wana akili kuliko mchwa. Ukimwona ambaye haangalii shinikizo lake la kukamulia huyo hana akili. Wengi huipamba sana nyumba hiyo ili watu wavutiwe na ule urembo.
 
Back
Top Bottom