Watalaamu wa uchawi, mitishamba na tiba asilia naombeni msaada wa kuelewa

Kizibo

JF-Expert Member
Jul 3, 2018
3,871
8,381
Heshima kwenu wakuu.

Katika kutafuta maarifa huku na kule, nikapata RITUAL moja hivi kwenye website fulani.

Hiyo ritual ina maelekezo katika vipengele 11. Katika hivyo vipengele 11 kuna ambavyo nashindwa kuelewa ndio nimekuja kuomba msaada kwenu watalaam wa mambo ya kiroho na watalaamu wa lugha.

1 "On the day of the new moon (maelekezo)

Katika kipengele cha 10 anasema.

10 "Repeat the ritual for 7 consecutive days." You must complete the ritual before the moon becomes full.

Halafu katika kipengele cha 11 anasema hivi..

11 Repeat the ritual frequently in the ensuing months. Perform the ritual regularly for better success.

Sasa wakuu, maswali yangu ni kwamba..

Je, hiyo namba 11 inamaanisha katika miezi inayofata niwe narudia zoezi zima kama lilivyo, yaani kuanzia na 1 "ON THE DAY OF THE NEW MOON" hadi 10 "Repeat the ritual for 7 consecutive days"

Au anamaanisha miezi inayofata niwe narudia rudia mara kwa mara kadri niwezavyo bila kuanza na ON THE NEW MOON na bila kufanya kwa 7 mfululizo?

Wewe umeelewaje?

Mshana Jr Rakims Herbalist Dr MziziMkavu Baba Vladmir
 
Kwahiyo unataka kuwa mchawi?

Hapana, sitaki kuwa mchawi, ila naongezea money rituals kwa sababu zimesaidia kwenye biashara na utafutaji wangu. Nina ushuhuda juu ya hili.

Lakini sipo hapa kutangaza biashara, nipo hapa kuomba msaada wa kuyaelewa maelekezo ya hiyo ritual
 
Heshima kwenu wakuu.

Katika kutafuta maarifa huku na kule, nikapata RITUAL moja hivi kwenye website fulani.

Hiyo ritual ina maelekezo katika vipengele 11. Katika hivyo vipengele 11 kuna ambavyo nashindwa kuelewa ndio nimekuja kuomba msaada kwenu watalaam wa mambo ya kiroho na watalaamu wa lugha.

1 "On the day of the new moon.......(maelekezo)

Katika kipengele cha 10 anasema..

10 "Repeat the ritual for 7 consecutive days." You must complete the ritual before the moon becomes full.

Halafu katika kipengele cha 11 anasema hivi..

11 Repeat the ritual frequently in the ensuing months. Perform the ritual regularly for better success.

Sasa wakuu, maswali yangu ni kwamba..

Je, hiyo namba 11 inamaanisha katika miezi inayofata niwe narudia zoezi zima kama lilivyo, yaani kuanzia na 1 "ON THE DAY OF THE NEW MOON" hadi 10 "Repeat the ritual for 7 consecutive days"

Au anamaanisha miezi inayofata niwe narudia rudia mara kwa mara kadri niwezavyo bila kuanza na ON THE NEW MOON na bila kufanya kwa 7 mfululizo???

Wewe umeelewaje???

Mshana Jr Rakims Herbalist Dr MziziMkavu Baba Vladmir
Repeat the ritual frequently in the ensuing months. Perform the ritual regularly for better success.
Rudia mila hiyo mara kwa mara katika miezi inayofuata. Fanya ibada mara kwa mara kwa mafanikio bora.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom