Wataka mambo hautayaweza😉 - karibu tuzogoe!

Wataka mambo hautayaweza😉 - karibu tuzogoe!

M
Nimewamiss wanajukwaa.
Njooni tubadilishane mawili matatu, jichagulie swali hapo chini tupige story!

  1. Je wajua kwamba wanawake wana kiungo kimoja mwilini ambacho kazi yake ni kusikia raha tu na hakina kazi nyingine yoyote? Kama unakijua kitaje na utuambie wewe huwa unakishughulikiaje?

  2. Nifundishe kitu ambacho unahisi nitakua sikifahamu.

  3. Ukitaka mwenzako aje kwako au awahi kurudi nyumbani kwa sababu unataka akupe mambo, huwa unamuambiaje?
    Mie nina 2 ambazo hazijawahi kufeli; Baba ……. urudi mapema leo nina hamu na wewe & mpenzi leo nimepika ……… ila uje kwanza kunila mpishi, niko kitandani nakusubiri.

  4. Kitu gani ulishawahi kukishuhudia kwa macho na hutakisahau kamwe?

  5. Ushawahi kukutana na maumbile ya binadamu yakakushangaza? ilikuwaje?

  6. Kama kawaida: niulize swali lolote nitakujibu!

    View attachment 3575053
Mi huwa nawaza saazingine kukutafuta nikuone live ulivyo ili nikuthamanishe mkuu.

Unatupigaga stori za kutunyegeresha hivi, wewe si demu mkali sana itakuwa!
 
Nitamtetea kwa nguvu na maarifa. Nimesema nipo kwa ajili ya kudefend lakini huyu member lamomy analazimisha niwe offensive nikianza kuwa offensive tusilaumiane hajui mimi nina resources zipi za kuwakabili, hajui acha aendelee

Depal popote ulipo nipe ruhusa niwe offensive kwa huyu member lamomy ili awe mfano
Usije ukala ban jamani, huogopi!! Wachie trauma zao wahangaike nazo wenyewe uwenda wakapata amani wakatulia.

Good morning lkn!
Uniambie we ni nani kaka mtu 💪
 
Usije ukala ban jamani, huogopi!! Wachie trauma zao wahangaike nazo wenyewe uwenda wakapata amani wakatulia.

Good morning lkn!
Uniambie we ni nani kaka mtu 💪
Akikwambia ni nani
Muulize kama ana ndugu yake
Na mimi nataka kaka wa hiari kama yeye
 
I like Depal because:
  • She's very smart
  • She's humble
  • She's intelligent
  • She can survive hard things
  • She's honest and genuine
  • She's resilient
  • She's beautiful

Depal you are such a smart cookie. You're awesome. Keep going......🔥🔥
Fake P 😹😹😹
Mke mwenzio anasifiwa huku, mbona wewe ulisema hana sifa yoyote?? Kweli 😹😹😹
 
Kwao mbagala kwa nini anapiga picha hotelin. Sijawahi kujua kuwa kama kwenu mbagala hutakiwi kwenda hotelini kunywa hata maji. (Akili za kizamani na kimaskini hizi)

Bora yeye kwao mbagala, ni mamilioni wangapi kwao ni vijijini huko lakini wameweza kuishi dream life yao?

Ndoa hataipata - haya ni maneno ambayo mtu hutamka kwa kujipa umailaika. Nani anaijua kesho? Wangapi wenye influence kubwa wenye pesa nyingi lakini ndoa ilishindikana? Yeye ikitokea kwa nini iwe ajabu? Alafu wanaosema hivi wao hiyo ndoa hawana

Alichompangia Mungu ndio kitatimia. Naamini atakua bora sana zaidi ya jana na leo.(Isaya 41:10)
Unachamba umbea mwanetu 😹😹😹

Fake P hizi dharau jitahidi weekend uzikomeshe wanakupanda kichwani hawa machizi..!! 🤣
 
Back
Top Bottom