Wataka mambo hautayaweza😉 - karibu tuzogoe!

Wewe umepewa onyo na bado husikii angalia join ya hiyo I'd ndio ujue sa ingine ana fail lako😁
😹😹😹 Huyo ni chizi hata angejoin kipindi cha Jambo forum hanitishi..!!

Hana file langu lolote anajitekenya tu!
Yeye kaona huu ndo muda wa kujipakulia minyama kwa D apate mbususu ya bure hana lolote hapo..!! 🤣😹😹
 
Sawa metetee ndugu yako huo ndio udugu
Nitamtetea kwa nguvu na maarifa. Nimesema nipo kwa ajili ya kudefend lakini huyu member lamomy analazimisha niwe offensive nikianza kuwa offensive tusilaumiane hajui mimi nina resources zipi za kuwakabili, hajui acha aendelee

Depal popote ulipo nipe ruhusa niwe offensive kwa huyu member lamomy ili awe mfano
 
😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹

Wewe umekunywa dawa leo?
Hebu wahi kunywa dawa kwanza

Usisubiri upewe ruhusa na D mimi mwenyewe nimekupa ruhusa twende kazi..!!
 
😹😹😹 Huyo ni chizi hata angejoin kipindi cha Jambo forum hanitishi..!!

Hana file langu lolote anajitekenya tu!
Yeye kaona huu ndo muda wa kujipakulia minyama kwa D apate mbususu ya bure hana lolote hapo..!! 🤣😹😹
Jesus huogopi 😁
 
Hakujui vizuri Lamomy
 
😹😹😹 Huyo ni chizi hata angejoin kipindi cha Jambo forum hanitishi..!!

Hana file langu lolote anajitekenya tu!
Yeye kaona huu ndo muda wa kujipakulia minyama kwa D apate mbususu ya bure hana lolote hapo..!! 🤣😹😹
Bado nasoma nipo kudefend nitaanza kuwa offensive haupo mbali sana
 
Sio mtu wa kuandika kuhusu watu Wala mafile, lakini nikitumia resources zangu basi ajue atapata shida ambayo hakuitarajia. Acha aendekeze sifa muda huu Ila yatapogeuka ataelewa
😹😹😹😹🤣🤣
Hizo resources ungetumia kutengeneza mabomu uwasaidie Iran bro 🤣
 
😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹

Wewe umekunywa dawa leo?
Hebu wahi kunywa dawa kwanza

Usisubiri upewe ruhusa na D mimi mwenyewe nimekupa ruhusa twende kazi..!!
Wewe huna uwezo wa kuniambia nifanye nini nitafanya pale ambako ninaona natakiwa kufanya. Hakupo mbali, endelea kufikiri wote ni wa kuchezea
 
Ingiza team uwanjani basi na mimi nimuite Fake P atupe pira biriani 😹😹😹
 
Mimi mwanaume siwezi kuandika mipasho ndio maana nimekuambia nipo kwa ajili ya kudefend na sio kushambulia. Nikianza kushambulia kama mnavyopenda haitakua nzuri kwenu sababu nimewapa hamjui nina resources zipi za kuwakabili
 
Ukiwa na jipya nishtue naona hueleweki zaidi ya kupambania mbususu kwa nguvu..!! 😹😹
Endelea kupenda kushiriki. Sifa yangu sina hasira nina uvumilivu mkubwa ndio maana sijaamua kufanya mnacholazimisha kitokee
 
Mimi mwanaume siwezi kuandika mipasho ndio maana nimekuambia nipo kwa ajili ya kudefend na sio kushambulia. Nikianza kushambulia kama mnavyopenda haitakua nzuri kwenu sababu nimewapa hamjui nina resources zipi za kuwakabili
Ita chezaji lako tumshtue na P bana humu tupo kuburudika, kuelimika na kupata habari mbalimbali..!!

Hiyo mikwara mbuzi haiwezi kufanya kazi, coz hata ikitokea (japo hilo haliwezekani) utaishia kunikodolea macho na kujua umekutana na malaika..!! 😹😹😹

Hapo kwenye malaika inategemea yupi
Mtoa roho au malaika wa nuru..!! 🤣
 
Nimekueleza hicho unachotamani hakiwezi kutokea sababu nitawakabili kwa nguvu kubwa. Tafuteni kazi zingine za kufanya hili la depall haliwezekani mmefeli
 
Mtanange unao endelea ni kati ya kaka wa Depal anajaribu kuweka ulinzi kwa mdogo wake

Upande wa pili ni binti machachali Labella akijaribu kutaka kufufua makaburi ya juzi na jana🤣🤣🙌
 
Back
Top Bottom