Wataka mambo hautayaweza😉 - karibu tuzogoe!

Wataka mambo hautayaweza😉 - karibu tuzogoe!

IMG_8726.jpg
 
I like Depal because:
  • She's very smart
  • She's humble
  • She's intelligent
  • She can survive hard things
  • She's honest and genuine
  • She's resilient
  • She's beautiful

Depal you are such a smart cookie. You're awesome. Keep going......🔥🔥
 
I like Depal because:
  • She's very smart
  • She's humble
  • She's intelligent
  • She can survive hard things
  • She's honest and genuine
  • She's resilient
  • She's beautiful

Depal you are such a smart cookie. You're awesome. Keep going......🔥🔥
Let me tag her for you 😊
Depal Keep going mama, all will be well 🫂🤗
 
ShesRise_1 , win-one , Seran , Mallerina mjitahidi na nyinyi kwenye maisha mpate wakaka watetezi kama huyu.
Mfatilie vizuri depal utampenda zaidi. Anafahamu vitu vingi kwenye maeneo mengi na sekta mbalimbali, huwa pia dialogue nyingi humu anashiriki na anajua
Kwenye technology anajua
Kwenye soccer/michezo anajua,
Kwenye elimu anajua
Kwenye music and entertainment anajua
Kwenye siasa pia anajua

She has a broad knowledge kwenye mambo.mengi. mtu wa hivi unawezaje kumchukia? Huyo dada alisema depal shule iilimshinda, Kama shule iilimshinda na ana knowledge kubwa kiasi hiki basi naomba wanafunzi wote shule iwashinde

Kwenye mahusiano, depal ni binadamu Kama mimi, wewe au yoyote ambao tumekua na mahusiano tofauti tofauti Ukiingia kwenye mahusiano utajua vipi miaka miwili mbeleni kitachotokea? Kwa hiyo depal aache kuwa na mahusiano sababu ya nyuma yalivunjika? Kila mtu ana hisia, kila mtu anapenda
 
Kwao mbagala kwa nini anapiga picha hotelin. Sijawahi kujua kuwa kama kwenu mbagala hutakiwi kwenda hotelini kunywa hata maji. (Akili za kizamani na kimaskini hizi)

Bora yeye kwao mbagala, ni mamilioni wangapi kwao ni vijijini huko lakini wameweza kuishi dream life yao?

Ndoa hataipata - haya ni maneno ambayo mtu hutamka kwa kujipa umailaika. Nani anaijua kesho? Wangapi wenye influence kubwa wenye pesa nyingi lakini ndoa ilishindikana? Yeye ikitokea kwa nini iwe ajabu? Alafu wanaosema hivi wao hiyo ndoa hawana

Alichompangia Mungu ndio kitatimia. Naamini atakua bora sana zaidi ya jana na leo.(Isaya 41:10)
 
Back
Top Bottom