Kaka wa Dep_AL
JF-Expert Member
- May 6, 2024
- 711
- 1,113
Kama unaweza kuachwa akakubaliwa yeye unafikiri hapo tatizo nani? Aliyeachwa au aliyekubaliwa? Wewe unaachwa alafu anakubaliwa yeye, jitafakari uliyeachwa sio yeye aliyekubaliwaUnajua kwann?
Sababu yeye ndo kivuruge wa mahusiano ya watu.
Alianzia kwa
Antonia
Coca
Fake P
Sasa hapo atapata vipi kinyongo?