ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,752
- 42,232
Kama hiyo ya kwenye Avatar hamna?Uje tunywe wine au Amarula 😂😂
Kama hiyo ya kwenye Avatar hamna?Uje tunywe wine au Amarula 😂😂
ni wewe utajichagulie tuKama hiyo ya kwenye Avatar hamna?
Ngoja ni bolt chap 😂🤣😅ni wewe utajichagulie tu
ewaaaa namna hiyooo ☺️☺️Ngoja ni bolt chap 😂🤣😅
Mjini hakuna kuogopana ahahahahhaWewe mbona hujui vingi kuanzia huyo Mbaga Jr na Poor Brain wote wadogo zangu 😁😁 humu nina kijiji cha ndugu
Mimi kwa sasa nachukua hata mwenye T 2Huyu ndiyo hiyo shida yako anaitimiza bila vipengele, ungekua mshangazi ningekupa mwanangu Poor Brain
Ila hawa vijana wengine wana story nyingi na upole sana.
Nimelegea🤣Siyo kila siku hela, jilegeze mwanamke 😂
Hivi wewe siku izi umepata kazi mbona umekua adimu😏Mjini hakuna kuogopana ahahahahha
Upole upi ulonao? 🥹Mi mpole hivi wangekua wamenionea 😢😁
Kwamba mimi sio mpoleUpole upi ulonao? 🥹
Siyo mpole kwa jinsi ulivyowasha moto kwenye huu mtanangeKwamba mimi sio mpole
Hii imeunima sana😢😭
Niamini mimi ni mpole mnoo😎 but kanikuta nipo kwenye ovulation nataka 🍆Siyo mpole kwa jinsi ulivyowasha moto kwenye huu mtanange
Sawa bhana ngoja nikuache 🚶♀️muda wa kulala huuNiamini mimi ni mpole mnoo😎 but kanikuta nipo kwenye ovulation nataka 🍆
Nilionana na mimiKitu gani ulishawahi kukishuhudia kwa macho na hutakisahau kamwe?
Simi lote hilo!!
😅😅eh ni aina ya computer mpyaSimi lote hilo!!
Kwenye kioo, ndotoni au wapi?Nilionana na mimi
NdotoniKwenye kioo, ndotoni au wapi?