Wataka mambo hautayaweza😉 - karibu tuzogoe!

Wataka mambo hautayaweza😉 - karibu tuzogoe!

Ndio mkuu, ni hormones tu zinapungua, anakuwa mkavu kama ana afya njema, ila sio tena mapenzi ya ki hardcore. Maandalizi mazuri na vilainishi na anampenda mtu ana enjoy. Kwa kuwa nerve endings zinaendelea kuwepo with proper stimulation ana enjoy.

Nadhani pia na saikolojia inachangia,kama mtu saikolojia yake kuhusu mambo hayo amekuwa akifurahia tangu awali uwezekano wa kuendelea pia upo mkuu. Unajua tunaishi kwa jinsi tunavyojengwa na kuamini.
Umeelezea vizuri sana, 💯 facts!
 
Back
Top Bottom