Wataka mambo hautayaweza😉 - karibu tuzogoe!

Njoo tulewe we kichaa 😹😹
Mimi kichaa? Uzuri kuna kanuni zinatuongoza kabla ya kufanya maamuzi hatutakiwi kukurupuka
Kanuni ni collecting, analyzing and disseminating of info. Hizi zote lengo sio kuja kuanza kushambulia bali kuongoza kufanya maamuzi, baada ya maamuzi ndio kushambulia hufuata. Ndio maana nasema nipo kudefend sijaanza kuwa offensive
 
Mtanange unao endelea ni kati ya kaka wa Depal anajaribu kuweka ulinzi kwa mdogo wake

Upande wa pili ni binti machachali Labella akijaribu kutaka kufufua makaburi ya juzi na jana🤣🤣🙌
Ndio, nipo kuweka ulinzi hakuna yoyote atayeweza kufanya chochote wala kuzusha chochote dhidi ya depal
 
Mimi kichaa? Uzuri kuna kanuni zinatuongoza kabla ya kufanya maamuzi hatutakiwi kukurupuka
Kanuni ni collecting, analyzing and disseminating of info. Hizi zote lengo sio kuja kuanza kushambulia bali kuongoza kufanya maamuzi, baada ya maamuzi ndio kushambulia hufuata. Ndio maana nasema nipo kudefend sijaanza kuwa offensive
Sijasoma najua ni upuuzi tu 😹

Njoo tulewe mwanetu
 
Back
Top Bottom