Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,096
- 61,512
Nini mbaya Mjukuu? karibu tuote jua, babu yenu baridi imegoma kuniachia 😢Babu yangu 💔
Nini mbaya Mjukuu? karibu tuote jua, babu yenu baridi imegoma kuniachia 😢Babu yangu 💔
Sawa babu nitakujaNini mbaya Mjukuu? karibu tuote jua, babu yenu baridi imegoma kuniachia 😢
Fake P eti una trauma 😹😹😹Usije ukala ban jamani, huogopi!! Wachie trauma zao wahangaike nazo wenyewe uwenda wakapata amani wakatulia.
Good morning lkn!
Uniambie we ni nani kaka mtu 💪
Pole sana kama hauko sawa, ni matumaini yangu utavuka unachopitiaSawa babu nitakuja
Usijali
Kwanini sasa 😁 ?Hakunaaaa
Unapendaaaaa mwenyewe 😂Hii ndo yenyewe 😎
Achana na hayo mawazo, huwezi kuniona mkuu!Mi huwa nawaza saa zingine kukutafuta nikuone live ulivyo ili nikuthamanishe mkuu.
Kunyegeka napo ni sehemu ya maisha 😂Unatupigaga stori za kutunyegeresha hivi,
Uko sahihi, sina ukali wowote ndugu yangu, mimi ni kabibi flani tu kalikojichokea 🤭wewe si demu mkali sana itakuwa!
Love you sis😍Kwanini sasa 😁 ?
Kuna id ilikuwa inaandamwa ya kiume kumbe ni kweli bana na ina mkoti mwingine inajiita mzee wa resources, kmmk JF kuna mambo mengi sana..!! 😹😹😹😅😅😅 acha tu
Nimekuelewa. Mimi ni mfu ambae nakukubali, sio mimi tu wapo wengi ambao wanaweza kusema au wakakaa kimya lakini jua hata atokee mtu akuchukie kwa kiasi gani basi jua wapo wengi wanaokupenda na hawatakubali kuona jambo lolote baya likikupataUsije ukala ban jamani, huogopi!! Wachie trauma zao wahangaike nazo wenyewe uwenda wakapata amani wakatulia.
Good morning lkn!
Uniambie we ni nani kaka mtu 💪
Ishi maisha yako kwa amani Depal, usije kukubali mtu kukukosesha amani sababu ya maneno ya uongo na uzushi.🥰🥰 Thank You kaka mzuri.. Mti wenye matunda 😁😁🙏
Anatakiwa kujua hata umchukie mtu vipi basi wapo wengi wataoendelea kumpenda. Hakuna neno lolote liitalobadilisha upendo wao kwake. We love depal, we will protect herFake P 😹😹😹
Mke mwenzio anasifiwa huku, mbona wewe ulisema hana sifa yoyote?? Kweli 😹😹😹
Sema sheikh kazi yako ngumu..!!Anatakiwa kujua hata umchukie mtu vipi basi wapo wengi wataoendelea kumpenda. Hakuna neno lolote liitalobadilisha upendo wao kwake. We love depal, we will protect her
Umeona utofauti wa Depal, Hakuna alipochukia amechukulia kawaida wote waliomsema na amewasamehe wala hana kinyongoFake P eti una trauma 😹😹😹
Kamanda unatukanwa sana, unakubali vipi hizi dharau?
Bibie nasikia na wewe una kitu uko piemuni 😹😹
Unafikiri yeye akisoma hivi mnavyoandika ndio anazidi kuwadharau lakini anasame. Tumieni uwezo wenu kidogo wa kufikiriaSema sheikh kazi yako ngumu..!!
Yani una switch id hii unashusha daily news then unarudi tena kwa id hii unachamba umbea..!! 😹😹😹
Depal anidharau mimi? 😹🤣🤣Unafikiri yeye akisoma hivi mnavyoandika ndio anazidi kuwadharau lakini anasame. Tumieni uwezo wenu kidogo wa kufikiria
Unajua kwann?Umeona utofauti wa Depal, Hakuna alipochukia amechukulia kawaida wote waliomsema na amewasamehe wala hana kinyongo
Kudharaulika hakuna mipaka, kila mtu anachoongea au kuandika hufanya pia adharaulikeDepal anidharau mimi? 😹🤣🤣
Mtu ambaye hii mara ya tatu humu wanagombea wanaume na wake wenzie!??
Sasa kama hapa JF hivi uko nje hali ikoje?
Hebu acha kunifananisha na milupo sheikh..!!
Wewe pambania chiu tu.!!