Wataka mambo hautayaweza😉 - karibu tuzogoe!

Wataka mambo hautayaweza😉 - karibu tuzogoe!

Anazikubali, hilo wala sina hofu. Akikaa kidogo bila kuzichezea anaumwa kabisa😅
Eti anaumwa 😂

Happy Married At First Sight GIF by Lifetime.gif
 
Nasubiri part 2 ya mtanange, ila mpaka sasa team yenu inaongoza goli 5 - 0

😄 😆 kila babu humu ana mjukuu anamfunua, sasa ukionekana unamkaribia lazima uparuliwe.
Wapo wanazoom vibabu vyao kimya kimya 😆

Hebu mjaribu Equation x kuna kipindi alikua anatafuta kabinti ka kumchezea sharubu.
Sina meno mjukuu wangu, kiinua mgongo kimeisha.
 
Salamalekoooooooooo binti 😂
Darkness haijawahi kushinda light hata siku moja 🤭

Cc: Kaka wa Dep_AL
Kwahiyo jana mlikuwa mnaripoti tupewe ban? 😹😹😹

Nyie wenye team zenu mlitakiwa mtulie upande pinzani naye atoe yake. Mbona waoga?
Sisi tulitaka wote wafunguke km nyie mlivyofunguka na hamkuripotiwa ban.

Fake P naye alitakiwa ajitetee ndio kanuni ya mchezo.. mmebeba mpira mmekimbia nao ndo nini sasa??
 
Kumbe kuna u team lol 😆
 
Mie nae kulala mapema 😭
Ona sasa majirani zangu wamepigwa ban hata hatujaagana 🙌🙌🙌

Huyu kaka veep
Vitu vilitaka kuwekwa clear tunashangaa wambea tumeombewa ban kutoka team Depal 😹😹😹

Jamani tukirudi tunaomba mchezo uwe fair tuache wahusika wapambane..!!

Wambea hatuna team sisi kote tunapiga 🤣
 
Vitu vilitaka kuwekwa clear tunashangaa wambea tumeombewa ban kutoka team Depal 😹😹😹

Jamani tukirudi tunaomba mchezo uwe fair tuache wahusika wapambane..!!

Wambea hatuna team sisi kote tunapiga 🤣
We Lamomy nyokooooo nimekujua 🤣🤣 hili koti ni lako
 
Back
Top Bottom