Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,672
- 167,738
Unalenga tu uzuri ni kulenga bila papara psssss pssss..... sio kama pool table paaaa paaaa taaaaaKishimo cha golf ni kidogo, kwa macho yangu sidhani kama nitalenga
Unalenga tu uzuri ni kulenga bila papara psssss pssss..... sio kama pool table paaaa paaaa taaaaaKishimo cha golf ni kidogo, kwa macho yangu sidhani kama nitalenga
Hapana mzee mwenzangu, sina rekodi ya kukagua wajukuu.Mnikaribishe na mimi mzee mwenzenu nitoe ushamba.
Wakina Eroni wanafukuzia vigoli humu na vigoli wenyewe mambo mengi wananyukana kwenye nyuzi.
Ni mitifuano tu 😂
Ni mdau mkubwa sana wa old wine, the older it gets........Mshauri anywe old wine 😃
Sina macho mzee mwenzangu, vishimo vya golf vimezidi kuwa vidogo😅😅Unalenga tu uzuri ni kulenga bila papara psssss pssss..... sio kama pool table paaaa paaaa taaaaa
Halafu ujue alivyoanza ku ni Attack nilihisi ni mtu wa Babu ERoni 😁 maana sana sana napenda kuchezea sharubu zake sana hapa jamvini 😎Mnikaribishe na mimi mzee mwenzenu nitoe ushamba.
Wakina Eroni wanafukuzia vigoli humu na vigoli wenyewe mambo mengi wananyukana kwenye nyuzi.
Ni mitifuano tu 😂
Acha uoga usipoona utapapasaSina macho mzee mwenzangu, vishimo vya golf vimezidi kuwa vidogo😅😅
Mmmh kwa mambo ya humu, hapana, kaa mbali na wajukuu.Hapana mzee mwenzangu, sina rekodi ya kukagua wajukuu.
Nabwabwaja nikimaliza naenda kwa mzee mwenzangu kupata pumziko.
Ila dada et unavyotaka ndiyo naye anavyotaka nimecheka 😁 yoooMmmh kwa mambo ya humu, hapana kaa mbali na wajukuu.
Haya mpe pole mjukuu wako wa mwisho ShesRise_1 , walidhani mnyonge kumbe unavyotaka ndiyo naye anavyotaka 😂
Unapenda sharubu za vibabu, watu wanahisi unataka kuharibu ugali wao.Halafu ujue alivyoanza ku ni Attack nilihisi ni mtu wa Babu ERoni 😁 maana sana sana napenda kuchezea sharubu zake sana hapa jamvini 😎
Kumbe sio bhana😀😜
Unataka kusema nipapase kishimo au kale kampira😅😅😅Acha uoga usipoona utapapasa
Huwez fananisha demu wa uchagan na mswahili jaman hawa wadada wana mafund kitandanWa uswahilini mna ujuzi gani?
Waswahili wanakupaga nini vya ajabu hivyo?Huwez fananisha demu wa uchagan na mswahili jaman hawa wadada wana mafund kitandan
Papasa mpira papasa kishimo wekaUnataka kusema nipapase kishimo au kale kampira😅😅😅
Dada 😢 ni mzee yupi huyo lol nitauawa mimi maana napenda vibabu😁Unapenda sharubu za vibabu, watu wanahisi unataka kuharibu ugali wao.
Kuna yule mzee mwingine naona naye unapenda kumchezea sharubu, ngoja naye vibinti vyake vije kukuvaa 😂
Walidhani mnyonge maskini, mimi ugomvi kama hivyo siwezi, ningemuweka kwenye ignore list tu, nikajikalia kimya!Ila dada et unavyotaka ndiyo naye anavyotaka nimecheka 😁 yooo
Ukiniona live sasa mpoleeee🙌
Ila babu mhm haya 🏃♂️🏃♂️🏃♂️Tulishapitia hizi scenario ujanani, hatuwezi kurudia makosa mjukuu1😅
Amenikuta na mood off today tokea nikiwa church sikua na mood nzuriWalidhani mnyonge maskini, mimi ugomvi kama hivyo siwezi, ningemuweka kwenye ignore list tu, nikajikalia kimya!
Yule anayejiitaga babu 😂Dada 😢 ni mzee yupi huyo lol nitauawa mimi maana napenda vibabu😁
Yani dada kaumbuka vibaya, sijui hata atarudi na comeback gani 😂Ila uzuri mhusika kapatikana nimeutua msalaba🙌