Wataka mambo hautayaweza😉 - karibu tuzogoe!

Vitu vilitaka kuwekwa clear tunashangaa wambea tumeombewa ban kutoka team Depal 😹😹😹

Jamani tukirudi tunaomba mchezo uwe fair tuache wahusika wapambane..!!

Wambea hatuna team sisi kote tunapiga 🤣

Binti wa zamani team D anaogopa makombora 😹😹😹

Imeniuma sana wambea tuna shida gani mpk tupewe ban?
Binti wa zamani et ni kweli🤣🤣
 
Alooo kwahiyo una lilia kuona kipapa cha D 🙌😜😅
Tunataka mchezo uwe fair wote watoe madukuduku yao. 😹😹😹

Na kipapa km kipo fureeeshhh si ndo vizuri mpambano unanoga..!! 🤣
 
Mi naogopa kuona kipapa cha mtu
Hivi baado huyo bakabaka anaimini mimi ni D 😆😆🙌
 
Kwahiyo jana mlikuwa mnaripoti tupewe ban? 😹😹😹

Nyie wenye team zenu mlitakiwa mtulie upande pinzani naye atoe yake. Mbona waoga?
Sisi tulitaka wote wafunguke km nyie mlivyofunguka na hamkuripotiwa ban.

Fake P naye alitakiwa ajitetee ndio kanuni ya mchezo.. mmebeba mpira mmekimbia nao ndo nini sasa??
Jf ni jukwaa linaloheshimika sio kijiwe cha kuja kuzogoa uzushi na uongo. Sitakubali uzushi wowote dhidi ya depall. Nitawazuia kwa nguvu kubwa. Hamtaweza
Nawapa onyo. Kwa sasa nipo kwa ajili ya kuzuia nitapoanza kuwa offensive msije kunilaumuu
 
Binti wa zamani team D anaogopa makombora 😹😹😹

Imeniuma sana wambea tuna shida gani mpk tupewe ban?
Iwe team iwe jeshi iwe group iwe whatever. Hamtaweza kuleta uzushi dhidi ya depall tukawaangalia. Tutawakabili kwa nguvu
 
Jf ni jukwaa linaloheshimika sio kijiwe cha kuja kuzogoa uzushi na uongo. Sitakubali uzushi wowote dhidi ya depall. Nitawazuia kwa nguvu kubwa. Hamtaweza
Nawapa onyo. Kwa sasa nipo kwa ajili ya kuzuia nitapoanza kuwa offensive msije kunilaumuu
Huna jeuri hiyo zaidi ya kujiliza kwa mods.

Umeshindwa mpambano umekimbia na mpira hilo zee zima hovyo..!! 😹😹
 
Jf ni jukwaa linaloheshimika sio kijiwe cha kuja kuzogoa uzushi na uongo. Sitakubali uzushi wowote dhidi ya depall. Nitawazuia kwa nguvu kubwa. Hamtaweza
Nawapa onyo. Kwa sasa nipo kwa ajili ya kuzuia nitapoanza kuwa offensive msije kunilaumuu
Hongera kaka na mimi natafta kaka wa kunilinda
 
Jf ni jukwaa linaloheshimika sio kijiwe cha kuja kuzogoa uzushi na uongo. Sitakubali uzushi wowote dhidi ya depall. Nitawazuia kwa nguvu kubwa. Hamtaweza
Nawapa onyo. Kwa sasa nipo kwa ajili ya kuzuia nitapoanza kuwa offensive msije kunilaumuu
Pia usisahau sio jukwaa la wauza mbunye hili weka sawa..!! 😹😹😹

Wao wanagombea bwana na wewe unagombea nini? 🤣😹
 
Back
Top Bottom