Kaka wa Dep_AL
JF-Expert Member
- May 6, 2024
- 711
- 1,113
Huna unachoweza kufanya zaidi ya kuandika utumbo, nao tutaupinga kalale na maumivuBado hujasema, yajayo yanafurahisha…!! 😹😹
Huna unachoweza kufanya zaidi ya kuandika utumbo, nao tutaupinga kalale na maumivuBado hujasema, yajayo yanafurahisha…!! 😹😹
Hivi unajua kama mimi nilikua natukanwa sana nikifananishwa nae na mpka leo huyo P ana ng'ang'ania et mi Depal aisee humu ndani kuna upuuzi mwingiWao sababu zao wanazojua wao wanamchukia basi wanataka kila mtu amchukie bila kujua tupo wengi tunaompenda. Hawataweza, tutamlinda iwe kwa nguvu au kwa njia yoyote
Yule mpuuzi kisirani chake chose alikua akija kukimwaga kwangu takataka🚮🚮Mimi sina timu, ila sipendi bullying na niliona huyo dada alikukosea sana kukuvamia.
Mbona tukimsapoti hubweki? 😹Wao sababu zao wanazojua wao wanamchukia basi wanataka kila mtu amchukie bila kujua tupo wengi tunaompenda. Hawataweza, tutamlinda iwe kwa nguvu au kwa njia yoyote
Mimi sioni kama kuna shida ila huyo P yeye anaingiza mpa issue za wazazi ndio anapo haribu na kuanza kuanika picha za mwenzieNenda selfika ukasome 😹😹
Sisi tukimtetea D team yao wanafurahi, ila tukianza kumsikiliza fake P ndo km hivyo wanaume mabinti wanajitokeza kuja kuvuruga..!! 😹
Mahi team unayo bana 😹😹😹Mimi sina timu, ila sipendi bullying na niliona huyo dada alikukosea sana kukuvamia.
Vita haina macho na haichagui silaha babes 😹😹Mimi sioni kama kuna shida ila huyo P yeye anaingiza mpa issue za wazazi ndio anapo haribu na kuanza kuanika picha za mwenzie
Andika yote ujifurahishe lakini huo uwezo hamna. Tutawazuia kwa nguvu hilo wekeni kwa kichwa, hiki sio kijiwe cha uzushiMbona tukimsapoti hubweki? 😹
Sisi tuko neutral hata huyo D naye alimbully Antonia na wakamdhalilisha..!!
Sasa hivi zamu yake cha kumshauri atie maji mapema kichwa chake mana Fake P anakuja kupitisha topaz 😹🤣🤣🤣
Shoga kumbe wanajuana njee ndani heh🙌Vita haina macho na haichagui silaha babes 😹😹
Wao waache wachambane mume wao atakuja kuwagombelezea. Kwanza hao walikuwa mashosti na walikaa vikao vingi kutusema..!! Ko wanavyopopoana ni malipo wanapokea..!! 😹😹😹
Habari ndo hiyo jipange haswaaa..!! 😹😹Andika yote ujifurahishe lakini huo uwezo hamna. Tutawazuia kwa nguvu hilo wekeni kwa kichwa, hiki sio kijiwe cha uzushi
Wanajuana kindakindaki hata mimi huyo D alikatazwa na fake p asinikwoti walijadiliana hayo yote pm..!! 😹😹😹Shoga kumbe wanajuana njee ndani heh🙌
Sihitaji kujipanga nawajua hamna maana yoyote zaidi ya story za kutunga na uzushi. Hamtafanikiwa hamtawezaHabari ndo hiyo jipange haswaaa..!! 😹😹
Sasa kama story za kutunga unawashwa na nini? 😹😹😹Sihitaji kujipanga nawajua hamna maana yoyote zaidi ya story za kutunga na uzushi. Hamtafanikiwa hamtaweza
Mahi niache 😂Mahi team unayo bana 😹😹😹
Wanasema usimpige teke mtu ambaye tayari yuko chini (Don't kick someone when they're down).Huyo D yeye mwenyewe alimbully tonia na picha wakatuma humu labda km unajizima data au hujui..!!
Ugomvi wa wake wenza sisi tuwe watazamaji
Jf sio kijiwe cha hizo story za kutunga. Kama unazipenda sana undeni group whatsaap mpigishane hizo story mkimakiza mjipe kombeSasa kama story za kutunga unawashwa na nini? 😹😹😹
Sikuachiiiiiiiii 😹😹😹Mahi niache 😂
Vita haina macho na haichagui silaha wameyataka wenyewe kupeana maisha yao halisi. Hao wanajuana ni mtu na shosti ake kitambo.Wanasema usimpige teke mtu ambaye tayari yuko chini (Don't kick someone when they're down).
Hata kama ana mapungufu yake, we unaona ni sawa kuanza kumtukania mzazi wake ambaye ndiyo kwanza amefariki?
We binti sayuni huachiiii😆Wanajuana kindakindaki hata mimi huyo D alikatazwa na fake p asinikwoti walijadiliana hayo yote pm..!! 😹😹😹
Huo ni ugomvi wa wake wenza na mashosti nashangaa hata watu wengine wanavyohuzunika nao..!! 😹😹
Hao sisi tunataka wayatoe yote ya huko kwenye bunge lao. Ndiomana sisi hatuna team tunaset mzani u balance
Sijawahi kuripoti mtu, F alitangaza muda wa mechi, naona mödzz nao wakapiga kambi hapo.Kwahiyo jana mlikuwa mnaripoti tupewe ban? 😹😹😹
Nyie wenye team zenu mlitakiwa mtulie upande pinzani naye atoe yake. Mbona waoga?
Sisi tulitaka wote wafunguke km nyie mlivyofunguka na hamkuripotiwa ban.
Fake P naye alitakiwa ajitetee ndio kanuni ya mchezo.. mmebeba mpira mmekimbia nao ndo nini sasa??
Hakuna story za kutunga, urafiki ulianzia JF na ugomvi pia utamalizwa hapa hapa JFJf sio kijiwe cha hizo story za kutunga. Kama unazipenda sana undeni group whatsaap mpigishane hizo story mkimakiza mjipe kombe