Wataka mambo hautayaweza😉 - karibu tuzogoe!

Binti kaa mbali na mume wangu, nitakutoa busha.
Mbona wewoooooo 😄
thevoicenosony teamalicia GIF.gif
 
Sijui na akirudi mgomvi wake atamkuta 😁
Nasubiri part 2 ya mtanange, ila mpaka sasa team yenu inaongoza goli 5 - 0
Basi waniachie babu mmoja ni cheze nae🏃‍♂️🏃‍♂️
😄 😆 kila babu humu ana mjukuu anamfunua, sasa ukionekana unamkaribia lazima uparuliwe.
Wapo wanazoom vibabu vyao kimya kimya 😆

Hebu mjaribu Equation x kuna kipindi alikua anatafuta kabinti ka kumchezea sharubu.
 
Nasubiri part 2 ya mtanange, ila mpaka sasa team yenu inaongoza goli 5 - 0

😄 😆 kila babu humu ana mjukuu anamfunua, sasa ukionekana unamkaribia lazima uparuliwe.
Wapo wanazoom vibabu vyao kimya kimya 😆

Hebu mjaribu Equation x kuna kipindi alikua anatafuta kabini ka kumchezea sharubu.
Vibabu vya jf jau🤣🤣🤣
 
😄 😆 kila babu humu ana mjukuu anamfunua, sasa ukionekana unamkaribia lazima uparuliwe.
Wapo wanazoom vibabu vyao kimya kimya 😆

Hebu mjaribu Equation x kuna kipindi alikua anatafuta kabinti ka kumchezea sharubu.
😁😁😁 nimecheka sana wallah mbavu zinauma 🙌🙌🙌🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nasubiri part 2 ya mtanange, ila mpaka sasa team yenu inaongoza goli 5 - 0
Alooo 😀😀😀 hatari sana
 
Back
Top Bottom