mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 30,703
- 37,316
usijifunguie kwenye taaluma yako peke yake.Sasa Gwajima ana elimu gani ya kuhoji medicinal au clinical trials za epidemiologist??
Mimi kitaaluma nadeal sana na tafiti huwa siwezi andikaa ripoti bila kwanza kutafuta taarifa kwa watu kwenye sekta husika.
Sasa mtu wa HKL unahoji PCB? Hivi Gwajima anajua procedure za kuandaa chanjo zingine au yye amesoma tu pdf moja tu google basi kageuka mchambuzi wa virology?
Angetoa hiyo hoja Dr.Kigwangallah licha ya kwamba naye ni mnafiki tu lkn walau ningeamini sababu ni Medical Doctor!!
Mimi siwezi hoji masuala ambayo sina taaluma nayo. Nmejifunza kuheshimu taaluma za watu.
hakuna sheria inayokulazimisha kuwa hivyo ni uamuzi wako tu,ambao tunawezaita ni wa ajabu ajabu.
ndio asili ya wasomi wa leo,yaani mtaalamu wa fani fulani anajikita hapo peke yake,na kuacha kabisa kujihusisha na mambo mengine,iwe kujisomea au kujihusisha nayo kivingine,sawa.
ila sio lazima kila mtu awe hivyo.
lingekuwa jambo la hovyo sana kama gwajima angesimama apinge chanjo halafu hana sababu.
sisi kama wasikilizaji tuna muda wa kufanyia utafiti aliyoyazungumza si kukanusha tu na kusema hajui alichoongea.wakati ni ukweli chanjo zimesababisha matatizo kwa waliopokea.
wewe ni mtaalamu,lakini nikikuuliza kirusi cha corona kimetoka wapi,huna jibu zaidi ya kuishia kuwa ni kirusi cha mlipuko.