Wataalamu wasema Askofu Gwajima amepotosha ukweli kuhusu chanjo ya corona

Ukimkataa alichowasilisha GwajiChid, wasikilize na hao wasee
 
unawezamtaja mtaalamu yeyote ili ajibu hayo kwa ufasaha???

corona imetokana na nini??tiba yake??
chanjo inakwendaje kufanya kazi mwilini?na imefaulu lini majaribio??

ni kweli gwajima hawezi kuwa mtaalamu kwa kila jambo,lakini ana uwezo mkubwa sana kujenga hoja,kitu ambacho huna.ukimsikiliza kwa utulivu utajua anataka utulize akili,sio kumsikiliza huku unawaza akikata viuno.
Kwahiyo issue ni kujenga hoja au FACTS? Mtu anapotosha website ya J&J imeandika side effect mojawapo ni death wakati hyo description haipo then unadai kajenga hoja?

Hta Dk.Mollel alimkosoa kitaalamu kabisa kwamba chanjo wala virusi vya Covid haviwezi penya hadi kwenye nucleus ya cell. Alafu anakuja mtu mwenye HKL anajifanya kuchambua epidemiology? Eti kujenga hoja kwa kupotosha?

Kwa kuwa 70% ya waTZ hawasomi vitabu wala kufuatilia mambo duniani atawazoa hao ila kwa wasomi wanamuona kituko tu.

Eti 5G ni corona!! Hahahaha mnafurahisha
 
kwahiyo wewe msimamo waoo ni kuchanjwa au kutochanjwa??

inawezekana hata hujui kipi unasimamia.
 
Pole Sana.
magufuli alikutoa Knock out kwenye Corona .
Tunadunda Tu..
No barakoa,no sanitizer,no maji tiririka.
Achana na hii nchi
MUNGU YUPO.
eti cha indiaa
Huyo JPM aliyekua anapinga Covid haipo mara cjui mabeberu tusitumie chanjo mbona alikua akitumia mashine ya kizungu kupush moyo? Yaani anawaambia mumtegemee Mungu huku yeye anategemea mashine ya mzungu!! Haaahaaa.

Idadi ya vifo vya TZ haipishani na vifo vya UG, Rwanda,Kenya n.k ila mbona hao hawakutegemea maombi pekee? Au TZ ndio ina vifo vichache vya Covid duniani kwa ujinga wako?

Mmekalia kejeli wkt mkizidiwa mnakimbizwa India eti leo hii unakuja mlipuko mnakashifu medical facility zao. Nchi ina watu billion 1.2+ watu wakifa buku kwa siku ni kma tone la damu baharini kma ulikua hujui ni below 1% ya watu wote waliougua Covid ndio wanakufa India.

Tatizo Elimu na mihemko, kuna watu hawajui hta population ya India na ratio ya death to survival..... But mmekalia kejeli tu za namba za vifo.
 
kwahiyo wewe msimamo waoo ni kuchanjwa au kutochanjwa??

inawezekana hata hujui kipi unasimamia.
Msimamo wangu ni kuchanjwa

2. Chanjo sio lazima ziwe za nje. Tutengeneze za kwetu

3. Sasa cha kushangaza kuna mijitu inapinga chanjo na kukejeli wanaotumia hku hatutengenezi.

4. Kwanini tusitengeneze zetu wenyewe? Hao tunaowakejeli mbona hawajasubiri za mabeberu? Sisi tumekalia kukosoa za wazungu hku za kwetu hamna. Kwani wapi wamesema ni lazima mtumie za oxford au moderna?

Hii nchi JPM aliiharibu sana watu mnapenda umbea kuliko facts
 
Sasa UGONJWA wa moyo na Corona NI Sawa?

tumia akili hata unayovukia barabara basi,hata mbuzi huwasaidia hiyo.

gwajima mwenyewe na jpm walijipambanua msimamo wao kabla ya kutamka jambo hilo,maana wanajua kuna vilaza walevi kama wewe mtakuja wazima wazima.

jpm alinukuliwa akisema tanzania hakuna corona 2020 feb,2020 oct akasihi watu kupiga kazi na kuchukua tahadhali pia nyungu,2021 jan akasema si kila chanjo ni ya kuchukua.wajinga ni nyinyi msioelewa lolote.

gwajima alikiri pia,kwamba hapondi chanjo maana zimekuwepo miaka kibao,anachopinga ni hatua za kitaalamh kutokamilika katika chanjo hiyo,maana tutakuwa sehemu ya majaribiowajinga ni nyinyi msiotaka kuelewa.
 
Msimamo wangu ni kuchanjwa

2. Chanjo sio lazima ziwe za nje. Tutengeneze za kwetu

3. Sasa cha kushangaza kuna mijitu inapinga chanjo na kukejeli wanaotumia hku hatutengenezi.

4. Kwanini tusitengeneze zetu wenyewe? Hao tunaowakejeli mbona hawajasubiri za mabeberu? Sisi tumekalia kukosoa za wazungu hku za kwetu hamna. Kwani wapi wamesema ni lazima mtumie za oxford au moderna?

Hii nchi JPM aliiharibu sana watu mnapenda umbea kuliko facts

kwani wewe umeandaa chanjo gani,au unasubiri hizo hizo za mabeberu??
2,mabeberu zimewashinda kuzitengeneza kwa mwaka mzima sisi tutaanzaje kutengeneza zetu!!!!

3 usiite watu wajinga sababu tu hawakufurahishi,wanachopinga ni uwezo wa chanjo hizo,zimefaulu viwango vyote??

4 hatujawa na uwezo huo bado wa kimaabara,na tulipojaribu njia za asili wataalamu wetu baadhi walibeza pia.lakini hii haifanyi sisi kuwa kondoo sasa kila kitu amina.

sera ya jpm ilikuwa kazi tu,kama ni umbea mlikuwa mnapiga hiyo ni asili ya mtu.
 
unawezamtaja mtaalamu yeyote ili ajibu hayo kwa ufasaha???

corona imetokana na nini??tiba yake??
chanjo inakwendaje kufanya kazi mwilini?na imefaulu lini majaribio??

ni kweli gwajima hawezi kuwa mtaalamu kwa kila jambo,lakini ana uwezo mkubwa sana kujenga hoja,kitu ambacho huna.ukimsikiliza kwa utulivu utajua anataka utulize akili,sio kumsikiliza huku unawaza akikata viuno.
Wewe ndio huna, sio mimi.Mtu akikopi mtandaoni afu eti anauwezo wa kujenga hoja, lada kwako ndio mana umuumuni wake.
Ile hoja ya kuongoza kwa namna yake ndio ilikugusa ?
Ubunge wenyewe kapewa mbona alipigwa chini kawe kama anaweza kujenga hoja.
Hajui chochote kuhusu chanjo halafu anaongea utopolo bungeni.
Sayansi ina wenyewe, akapige ngonjela kanisani ambapo watu hawahoji chochote.
Ukikopi biblia ukaiweka kichwani basi we unakuwa una akili !
Wenye akili ni wale walioatunga biblia sio mnaokalili na kudanganya.
Kama yeye kichwa avumbue dawa yake. Gwaji anatafuta popularity kwa watu wepesi kama wewe.
 
tulia chini halafu chagua mada moja ya kujadili.

hapa uko na corona,biblia,sayansi,akili,ubunge,waumini.
una tatizo la jumla na gwajima yaani.
 
Sasa UGONJWA wa moyo na Corona NI Sawa?
Kwahiyo ugonjwa wa Moyo tutegemee mzungu ila Covid 19 tumtegemee Mungu? Hahahaha

Embu pita mtandao wa Reddit uone kejeli anazopewa JPM. Na ule mtandao umejaa vipanga tu, yaani wanahoji kwanini alipinga chanjo za wazungu huku anatumia akili ya mzungu kuendelea kupumua?

Kuna wakati tupunguze ujuaji
 
Ebu Soma Kwanza

Screenshot_20210511-070625.jpg
 
gwajima alikiri pia,kwamba hapondi chanjo maana zimekuwepo miaka kibao,anachopinga ni hatua za kitaalamh kutokamilika katika chanjo hiyo,maana tutakuwa sehemu ya majaribiowajinga ni nyinyi msiotaka kuelewa.
Sasa Gwajima ana elimu gani ya kuhoji medicinal au clinical trials za epidemiologist??

Mimi kitaaluma nadeal sana na tafiti huwa siwezi andikaa ripoti bila kwanza kutafuta taarifa kwa watu kwenye sekta husika.

Sasa mtu wa HKL unahoji PCB? Hivi Gwajima anajua procedure za kuandaa chanjo zingine au yye amesoma tu pdf moja tu google basi kageuka mchambuzi wa virology?

Angetoa hiyo hoja Dr.Kigwangallah licha ya kwamba naye ni mnafiki tu lkn walau ningeamini sababu ni Medical Doctor!!

Mimi siwezi hoji masuala ambayo sina taaluma nayo. Nmejifunza kuheshimu taaluma za watu.
 
sikulazimishi kuamini.
Maana upeo wa kuchanganua Mambo tuna tofautiana.
Unaona sasa!!! Unanitumia screenshot ya instagram eti ndio source ya taarifa? Are you serious?

Leta hapa empirical analysis ama paper inayogusia hizo taarifa. Tatizo mnapenda umbea ndio maana mnaona kina Gwajima ndio magenius
 
Back
Top Bottom