wataalamu wakutengeneza mobile application tukutane hapa

kingtmt

New Member
Jul 28, 2018
2
45
Kwa wenzetu nchi zilizoendelea mobile application zimefanya watu wengi kuwa matajiri na bado wanaendelea kutajirika,natafuta watanzania wenye kutengeneza mobile application nzuri na ambao creative tuweze kutengeneza mobile application ambayo itaweza kutuingizia pesa,niko kwenye nafasi nzuri na pia nchi nzuri ambapo nikitangaza ni rahisi kukubalika na watu na hatimaye tukafanikiwa.
Nawakaribisha
 
Guangzhou Youngson ltd

JF-Expert Member
Jun 15, 2013
414
500
Kwa wenzetu nchi zilizoendelea mobile application zimefanya watu wengi kuwa matajiri na bado wanaendelea kutajirika,natafuta watanzania wenye kutengeneza mobile application nzuri na ambao creative tuweze kutengeneza mobile application ambayo itaweza kutuingizia pesa,niko kwenye nafasi nzuri na pia nchi nzuri ambapo nikitangaza ni rahisi kukubalika na watu na hatimaye tukafanikiwa.
Nawakaribisha

ushauri tu.You need to be straight dude
1.uko kweye nafasi nzuri......Ipi?
2.Nchi nzuri..........................Ipi?
3.ukitangaza ni rahisi kukubalika how?.................................Product ndio inakubalika.Kigezo cha wewe ni nani au uko wapi kwenye soko la teknolojia mara nyingi ni kidogo to be neglected.watu wanataka bidhaa bora.Sio wewe ni nani au uko wapi.
4.Humu kuna wataalamu wengi tu.So ungeweka atleast ulichokifanya katika hyo industry wengi wangekuelewa.Kwa tangazo lako lilivyo,wengi wata jua you are still amateur
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom