Wataalamu wa ku upgrade android version

Wataalamu wa ku upgrade android version

duh mkuu unampa odin aka'brick simu yake mana ile kitu no room for mistakes
 
naweza pii ku update huawaei p8 lite kwenda marshamallow
 
Je flash message iliyopo kwenye cm za nokia 2naweza ipata hyo program kwny android?
 
mkuu nimepita leo kwa mara ya kwanza humu nimekuta topic imenikosha kweli yani...MKUU NAOMBA msaada wako mi nina
SAMSUNG NOTE 1
MODEL: GT-N7000
ANDROID: 4.1.2


Nisaidie jinsi ya ku iupgrade kwenda kwenye lollipop au hyo mash...
 
Jamani kama Kuna mtaalamu wa ku upgrade android version kwa kutumia pc. Tafadhari naomba tuwasiliane. Simu yangu ni samsung s5 sm-g900f. Mawasiliano 0625470735[/Qunauza hyo samsung unauza....................
 
Vp mkuu Lg g pro2, pia yangu nataka iende lolipop au mashamail
 
Je flash message iliyopo kwenye cm za nokia 2naweza ipata hyo program kwny android?

kwa android kuipata ni shida,nazan kuna special feature simu za android zinakosa,ila kuna htc flan inakuja na flash sms kama inbuilt feature
 
Back
Top Bottom