kcamp
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 8,526
- 8,029
upgrade tu ,ukiface tatizo la chaj basi uta downgrade tuWadau nimepata ujumbe toka Sony juu ya ku-Update OS ya simu yangu z3 kwenda Mashmallow..... Naombeni wenye uzoefu na hili.
Vipi nikiupgrade haiwezi niletea shida, maana nimeizoea hii lollipop na haija nisumbua kabisa kwenye issue ya kutunza chaji na matumizi mengine ya kawaida.
Nimesoma mahali hapa ndani, wengi wakilalamika kuwa baada ya ku-upgrade simu zao zimekuwa zikiwaletea usumbufu vipi haliwezi nitokea pia?
Na incase nikitaka Upgrade ni njia ipi inafaa kati ya kutumia WiFi au mobile network?
Natanguliza shukrani za dhati.....![]()
![]()
tumia njia yoyote tu ilimradi network iwe nzur