Wataalamu wa ku upgrade android version

Wataalamu wa ku upgrade android version

mkuu nimepita leo kwa mara ya kwanza humu nimekuta topic imenikosha kweli yani...MKUU NAOMBA msaada wako mi nina
SAMSUNG NOTE 1
MODEL: GT-N7000
ANDROID: 4.1.2

Nisaidie jinsi ya ku iupgrade kwenda kwenye lollipop au hyo mash...
note one simu ya zaman mkuu,,mwisho ni jelbean tu.,,labda utumie custom rom itakufikisha hadi lolpop mkuu
 
Ninatumia Halotel H8501 Android 4.4.2, je naweza ku upgrade?
hiyo simu mkuu hata siifaham,hata google nashindwa kuiona hivyo nakosa jibu la kukupa,umejaribu kuchek updates?
 
Imeandika Sm-N900.

pakua driver za samsung hapahttp://www.mediafire.com/download/8tigkfg2oczvguv/SAMSUNG_USB_Driver_for_Mobile_Phones_v1.5.25.0-retail.exe

download odin hapa Odin v3.09.zip

firmware yako ya lolpop hii apa Download firmware: N900XXUEBOB2_N900ODDEBOB1_INU hakikisha unafungua account kweny hiii site ili kuweza kudownload file lako

ukisha malza

anza kuinstall driver hizo kweny pc yako
kisha rudi hapa jukwaan tuendelee

#pia jaribu kuchek software updates kweny simu yako,kama utaikuta sio lazma utumie njia ya hapo juu just uta click download ili kushusha hiyo update ila kama ukikuta no updates basi itabid utumie njia ya odin hapo juu
 
Vizuri, kumbe lazima niwe na computer?sawa ntafanya hivyo kisha ntarudi hapa, uko online muda wote? Ntakijuza hivi punde.
 
Sorry mkuu, me natumia tecno j7 vp naweza kwenda hadi lollipop
 
Vizuri, kumbe lazima niwe na computer?sawa ntafanya hivyo kisha ntarudi hapa, uko online muda wote? Ntakijuza hivi punde.

hapana mkuu npm nitakupa namba yangu utanstua ukimalza
 
huwez mkuu
Mkuu mbona hiyo link ya 3 nimejisajili lakini inapakua drives taratibu saaana, shida ni mtandao wangu au wao wenyewe maana nimeiacha inapakua toka sa 6 nikaenda sehemu nimerudi nakuta iko 18% hadi nikaishiwa nguvu, ńngne zimeendà fasta tu.
 
Shukrani mkuu, japokuwa kwa kutumia custom rom naskia inakubali, wacha nishbil wenye kuijua hyo njia

kwa custom rom utaweza..sijataka kukwambia utumie custom rom mana unaweza haribu simu yako ukikosea.
anza kuroot simu yako kisha flash recovery na utaweza kuflash rom unayopenda wewe kulingana na simu yako
 
Mkuu mbona hiyo link ya 3 nimejisajili lakini inapakua drives taratibu saaana, shida ni mtandao wangu au wao wenyewe maana nimeiacha inapakua toka sa 6 nikaenda sehemu nimerudi nakuta iko 18% hadi nikaishiwa nguvu, ńngne zimeendà fasta tu.
vumilia mkuu ni server za jamaa wanabana speed ukitaka unlimited speed lazma ulipie membership,vumilia itaingia tu
 
Back
Top Bottom