Wataalamu wa ku upgrade android version

Wataalamu wa ku upgrade android version

kwa custom rom utaweza..sijataka kukwambia utumie custom rom mana unaweza haribu simu yako ukikosea.
anza kuroot simu yako kisha flash recovery na utaweza kuflash rom unayopenda wewe kulingana na simu yako
Mkuu nimefuata hizo hatua hadi mwisho, nimerudi kama ulivyoelekeza.
 
Kwamuwa kuroot tu teyari ni hatari na nimeroot last night hivo nahisi niko teyari kwa consequence zozote, so km unaweza anzia kunielekeza kwenye flash recovery ili nijaribu
 
Mkuu nimefuata hizo hatua hadi mwisho, nimerudi kama ulivyoelekeza.

extract firmware hiyo ili ndan upate file lenye extension ya tar au md5 kisha liweke kweny destop

then extract odin ili upate setup yake kisha run as adminstrator

odin ikisha funguka utaona sehem wameandika AP au PDA basi wewe click hapo kisha locate na uweke file la rom ambalo umeweka kweny desktop

Htua ifuatayo ni kuweka simu yako kweny download mode
  • Switch off your device completely.
    – you can remove its battery and then re-insert it after several seconds have gone by.
  • Now, press and hold Volume Down, Home and Power, all at the same time.
  • Release all buttons when you see the Warning! screen.
  • Next, press the Volume Up button to confirm that you want to boot Download Mode for your Note 3 device.

simu ikisha kua hapo basi chomeka usb yako kweny simu na uconnect kweny computer
kipind hiko odin umeiminmize tu ,sasa wakat unachomeka usb hakikisha odin yako upande wa juu kushoto mbele ya neno id com panachange colour na kua njano au blue bahar hii maana yake simu yako imeonekana na iko tayr kuflash

sasa click neno start kweny odin pale itaanza kuflash na usubir hadi odin itakapo kwambia PASS then hapo utakua umemalza kaz
 
Kwamuwa kuroot tu teyari ni hatari na nimeroot last night hivo nahisi niko teyari kwa consequence zozote, so km unaweza anzia kunielekeza kwenye flash recovery ili nijaribu
subir nikuchekie files zako
 
Kwamuwa kuroot tu teyari ni hatari na nimeroot last night hivo nahisi niko teyari kwa consequence zozote, so km unaweza anzia kunielekeza kwenye flash recovery ili nijaribu
pakua recovery yako hapa [Naijawarlord] Tecno JBoom J7recovery.img

kisha pakua mobile uncle hapa MonileuncleTools.apk

jinsi ya kuflash recovery yako

  1. Turn Off Internet Connection
  2. Place Your Downloaded Recovery img on Sdcard Directory
  3. Open downloaded mobile uncle tools.
  4. Select "Recovery update".
  5. Select Your Recovery
  6. Then Flash It
  7. After flashing, Reboot Into Recovery, sasa hapo tayr umesha weka recovery yako
  8. pakua rom yako hapa MEGA
  9. kisha njoo jukwaan tumalzie

Shukrani mkuu, nitarudisha mrejesho badae
 
hiyo simu mkuu hata siifaham,hata google nashindwa kuiona hivyo nakosa jibu la kukupa,umejaribu kuchek updates?
Mkuu simu hii haina updates (see attachment) ila naomba usichoke kutafuta huenda ukakutana na namna ya ku update!
5530cf91acaa2583ea693e0e706a3906.jpg
 
sim

simu gan mkuu
kcamp nina Samsung S4 ya kikorea, android version 5.0.1 na model SHV-E330K. ina tatizo la kutoweza ku run USSD Code, je kama niki upgrade to another firmware hili tatizo litaisha?
 
kcamp nina Samsung S4 ya kikorea, android version 5.0.1 na model SHV-E330K. ina tatizo la kutoweza ku run USSD Code, je kama niki upgrade to another firmware hili tatizo litaisha?

Settings -> Location and Security -> Mobile Tacker then disable kisha jarbu kurun ussd
 
Back
Top Bottom