Wataalamu wa IT wa Tanzania ni 'zero' kabisa

Naandika kwa uchungu sana. Nilipewa instructions ya kutafuta kampuni ya IT hapa Tz kudisign app na web kwa ajili ya masuala fulani fulani. Nikawacheck jamaa fulani ni IT wazuri tu (kwa mjibu wao na ka kampuni kao uchwara) na mmoja kasoma US mwingine China. Nikawapa 15,000,000/= waanze kazi. Hii ni baadhi ya malipo ya awali.

Miezi mi4 hakuna feedback. Tukasema tusubiri labda jamaa wako kazini. Miezi 6 hola. Miezi 12 hola. Huku na huku nikapigiwa simu kazi tayari. Nikasema poa. So nilikuwa mbali. Nikamtafuta software engineer ni mkenya afanye testing. Aisee jamaa alicheka sana. Ikasema hao vijana wamegoogle templates wameedit na kupachika na ni bogus development.

Idea ilikuwa kuwa na software inayotrace magari ya kumpuni, yako wapi, yametembea kilo ngapi and other staffs-Real time data.

Wakaishia kutengeneza utopolo tu. I guess wako humu pia. Ilibidi tulipe upya tukapeleka project Rwanda. Vijana wamedesign from scratch na within 4 month wamekabidhi kazi.

Sasa naelewa kwa nini watu hawataki kuwekeza kwenye IT Bongo. Ujinga mtupu. Hawa vijana wetu wafuge tu kuku kwa kweli. Hivi nyie ndo mtaweza hata kushindana na Bolt+uber?.

Anyway sijui CS/IT mnafundishwa nn huko vyuoni. Natamani kujua mitaala yenu.

100% disappointed.
Nilikuwa na line ya simu ambayo haipokei simu international, sms kutoka airtel pamoja na ttcl
Kaka !! Ma IT wa kampuni za simu zote tatu walishindwa kutatua tatizo, ilibidi tu kuachana na ile line
 
Nilitegemea hii response mana najua hawa vilaza wapo humu ndani. Inshort tuliingia nao contract na kuna signed documents sitaki kuzielezea hizo mana nikiamua kuwapeleka mahakani is a matter of pressing a button. Mimi ni mtu ninayepuuza sana siwezi kutoka niliko nianze kufuatilia kesi ya mil 15. Ishu hapa IT gani unashindwa kudesign kitu kidogo kama hicho ana isitoshe unaenda kucopy paste huko. In short nyie ni zero kabisa except wale wachache sana. Na mmejaa usanii wa kijinga tu. Sorry to say that. Inaniuuma sana sio kwa hela ila kwa incompetence yenu.
Very bold!
 
Sio Tanzania mkuu. Ni wachache sana. Ni ngumu kuwapata.
Kwa elimu ya inayotolewa na mitaala ya Tanzania , kupata experts ni kama kutafuta Bikra kwenye wodi ya wazazi, sio kwa IT tu bali karibu fani nyingi , watu wanakariri past papers , unategemea kutakuwa na innovations hapo?

Angalia tu ufaulu wa matokeo ya jana , watoto wana division one za piont 7, na tunaona fahari kwa ufaulu huo , matter of the fact ni kuwa mtoto wa ufaulu huu , unless awe genious , hawezi ku specialize , na kufanikiwa maana karibu kila somo amekariri.
 
Na wewe kwa akili zako unaweza kuja hapa ukatoa reference ya mifumo ya serikali kuonesha ubora wenu ??

Website zote za umma Kama zimeundwa na primary school students. Hauko serious.
Bas naww nitajie mfumo unaouamini , Hz vitu ni taratib na Kuna update
 
Naandika kwa uchungu sana. Nilipewa instructions ya kutafuta kampuni ya IT hapa Tz kudisign app na web kwa ajili ya masuala fulani fulani. Nikawacheck jamaa fulani ni IT wazuri tu (kwa mjibu wao na ka kampuni kao uchwara) na mmoja kasoma US mwingine China. Nikawapa 15,000,000/= waanze kazi. Hii ni baadhi ya malipo ya awali.

Miezi mi4 hakuna feedback. Tukasema tusubiri labda jamaa wako kazini. Miezi 6 hola. Miezi 12 hola. Huku na huku nikapigiwa simu kazi tayari. Nikasema poa. So nilikuwa mbali. Nikamtafuta software engineer ni mkenya afanye testing. Aisee jamaa alicheka sana. Ikasema hao vijana wamegoogle templates wameedit na kupachika na ni bogus development.

Idea ilikuwa kuwa na software inayotrace magari ya kumpuni, yako wapi, yametembea kilo ngapi and other staffs-Real time data.

Wakaishia kutengeneza utopolo tu. I guess wako humu pia. Ilibidi tulipe upya tukapeleka project Rwanda. Vijana wamedesign from scratch na within 4 month wamekabidhi kazi.

Sasa naelewa kwa nini watu hawataki kuwekeza kwenye IT Bongo. Ujinga mtupu. Hawa vijana wetu wafuge tu kuku kwa kweli. Hivi nyie ndo mtaweza hata kushindana na Bolt+uber?.

Anyway sijui CS/IT mnafundishwa nn huko vyuoni. Natamani kujua mitaala yenu.

100% disappointed.
Naunga Mkono yote, maana hata mie yamewahi kunikuta. Tatizo ukilalamika humu unaonekana ni hater
 
Mara mia uonekane hater kuliko kuvumilia upigwaji. Shida wengi ni wahuni tu. Kuwapata genuine ni ngumu. Wote wazuri wako kwenye ma taasisi huko mabank n.k hawa wa uswahili wala kande tu.
 
Asili ya mbongo ni msanii msanii anayependa short cut hataki kujifunza wala kuumiza kichwa na sasa GOOGLE ndio imekuwa kichaka cha wavivu

1. Tuna degree za google ni copy and paste library vitabu hawasomi

2.Tuna P.H.D za google unakuta mtu kaandika likitabu kuubwa hata ndani yake hajui kuna nini, akisha search ile key word basi ana copy nzima na kubandika , sasa ukutane na cover alivyoliremba na tittle ilivyondefu utadhani kafanya tafiti kweli

4.Hili suala la IT ndio ugonjwa wa Taifa kabisa, unakuta kuna vijana wengi wana ma vyeti ya kutisha lakini ukiwa na kampuni na unahitaji mfumo lazima uende india bila hivyo mbongo atakusimulia hadithi za abunwasi za programing ukimpa kazi ndio anarudi kwa BABA WA WAVIVU MZEE MWENYEWE GOOGLE
Magufuli alipowafuata ma IT huko rwanda walimtukana sana kumbe wao ndio ziro brain
 
Ukweli wachache sana IT hapa bongo. Nilishawahi kuwa kwenye kampuni moja IT wote ni foreigner just imagine. Ila huko ndani wakali sana.
 
Mwiriwe muyobozi mukuru! Amakuru yawe?

Kwani boss umefanya kazi na ma IT wa Bongo wangapi ili tufanye percentage? Inaonekana ma IT wa Bongo chai sana, lakini pia kupata uhakika wa unachokisema inabidi tuwe na data.
 
Data gani unataka. Tafuta kazi yao hata moja tu tuione.
 
Mimi nimesoma CS ila sijawahi endelea kupractise niliamua kubadili field. Developer from scratch Tz ni ngumu kuwapata. Ni bora hata Kenya.
 
Naandika kwa uchungu sana. Nilipewa instructions ya kutafuta kampuni ya IT hapa Tz kudisign app na web kwa ajili ya masuala fulani fulani. Nikawacheck jamaa fulani ni IT wazuri tu (kwa mjibu wao na ka kampuni kao uchwara) na mmoja kasoma US mwingine China. Nikawapa 15,000,000/= waanze kazi. Hii ni baadhi ya malipo ya awali.

Miezi mi4 hakuna feedback. Tukasema tusubiri labda jamaa wako kazini. Miezi 6 hola. Miezi 12 hola. Huku na huku nikapigiwa simu kazi tayari. Nikasema poa. So nilikuwa mbali. Nikamtafuta software engineer ni mkenya afanye testing. Aisee jamaa alicheka sana. Ikasema hao vijana wamegoogle templates wameedit na kupachika na ni bogus development.

Idea ilikuwa kuwa na software inayotrace magari ya kumpuni, yako wapi, yametembea kilo ngapi and other staffs-Real time data.

Wakaishia kutengeneza utopolo tu. I guess wako humu pia. Ilibidi tulipe upya tukapeleka project Rwanda. Vijana wamedesign from scratch na within 4 month wamekabidhi kazi.

Sasa naelewa kwa nini watu hawataki kuwekeza kwenye IT Bongo. Ujinga mtupu. Hawa vijana wetu wafuge tu kuku kwa kweli. Hivi nyie ndo mtaweza hata kushindana na Bolt+uber?.

Anyway sijui CS/IT mnafundishwa nn huko vyuoni. Natamani kujua mitaala yenu.

100% disappointed.
 
Data gani unataka. Tafuta kazi yao hata moja tu tuione.
You are wasting your precious time trying to convince hao washupavu bubu; you have said it rightly and enough. Mtu yeyote makini anaelewa fika usemacho. I have a heck of a lot of evidences to corroborate ulichosema, lakini sitaweza kufanya hivyo kwa sababu za identity & kiusalama.
 
Ki ukweli kati ya fani inataka passion, tofauti na elimu tu ni IT. Yaani uwe umesoma na uwe unapenda kufanya mambo ya IT.

Sasa tatizo linakuja pale unakuta mtu kasoma tu ili aje ajiajiri au apate kazi na kipato. Hapo lazima ufeli tu au mwishowe uonekane IT uchwara.

Hii fani inataka uwe mtundu mtundu, kila leo unajifunza jipya, au unajaribu hiki, yani maana kila kukicha kuna updates.

Mimi sijasoma IT lakini natamani nisome sasa. Kutokana nakupenda hii fani najifunza funza mwenye normal practices. Normal issues ambazo najua watu wengi ambao hawana ujuz wa hii fani hawataweza troubleshoot mimi naweza mwenyewe.

Nirudi kwenye mada kumsapoti mleta uzi kuwa IT wengi wanazengua somtimes, binafsi nilishawahi wachallange IT wawili kwenye ofisi moja kubwa tu, wao wanasema hili haliwezekani mimi nasema inawezekana. Ilikua ubishi mkubwa mpaka ikabidi tuwekeane ela mbele ya mashuhuda wengine hapo ofisini. Mwishowe nilifanya hicho walichosema hakiwezekani nikawala ela yao na wao wakabaki kuaibika.

Sasa mimi niliweza vipi? Nasoma soma, nafanya fanya majaribio ya hapa na pale kuhusu mambo tofauti tofauti ya ki IT. Sio mtaalamu wa IT ila nawezakuwa najua mengi kuliko ma IT wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimesoma CS ila sijawahi endelea kupractise niliamua kubadili field. Developer from scratch Tz ni ngumu kuwapata. Ni bora hata Kenya.
Uliwatafutia wapi? Yawezekana ulikuwa unawasaka walio hai makaburini
 
Wabongo nomaaaaa

[emoji117]One time nilienda kwenye ofisi moja ipo pale mlimani (sijui bado wapo) ka laptop kangu kalikua na shda,

[emoji117]ofisi yao yaani ni full A/C, ni imepambwa kweeeeeli, neno solution kila kona, nikawelezea shida ya pc yangu kijana moja pale anaonekana ananiskiliza kwa umakini yaani smart kweliiii

[emoji117] sasa bwana tukawasha ka pc kangu, fundi akaangalia pale, akazunguka zunguka pale weee, nikaona kachukua ka iphone six kake kaingia YOTUBE akanza kusearch ile meseji inayo desplay pale kwenye pc yangu

[emoji117]kafuatilizia maelekezo kaanza kuya apply kwenye pc yangu, ikashindikana, akaendelea ku scrow chini, anaangalia video tofauti tofauti mwisho akanambia we nenda utarudi kesho!!

[emoji117][emoji23][emoji23] Nikamwambia haya, nkaondoka. Kesho yake nimerudi shida iko pale pale!! Sasa wakati ananipanga mwenzie akamwambia hem cheki hii video (yotube)

Akajalibu ile meseji ikapotea, [emoji23][emoji23][emoji23] nikalipa nikazima nikaondoka, nimefika nyumbani kuwasha tu, meseji hiyoooo[emoji1787][emoji1787] nikaona isiwe tabu nikaingia youtube na mie[emoji1787][emoji1787] mpaka nikatibu mwenyewe. So bongo tunamafundi IT wa YOUTUBE kibao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Duu. Hafu ndio madeveloper hao
 
Naandika kwa uchungu sana. Nilipewa instructions ya kutafuta kampuni ya IT hapa Tz kudisign app na web kwa ajili ya masuala fulani fulani. Nikawacheck jamaa fulani ni IT wazuri tu (kwa mjibu wao na ka kampuni kao uchwara) na mmoja kasoma US mwingine China. Nikawapa 15,000,000/= waanze kazi. Hii ni baadhi ya malipo ya awali.

Miezi mi4 hakuna feedback. Tukasema tusubiri labda jamaa wako kazini. Miezi 6 hola. Miezi 12 hola. Huku na huku nikapigiwa simu kazi tayari. Nikasema poa. So nilikuwa mbali. Nikamtafuta software engineer ni mkenya afanye testing. Aisee jamaa alicheka sana. Ikasema hao vijana wamegoogle templates wameedit na kupachika na ni bogus development.

Idea ilikuwa kuwa na software inayotrace magari ya kumpuni, yako wapi, yametembea kilo ngapi and other staffs-Real time data.

Wakaishia kutengeneza utopolo tu. I guess wako humu pia. Ilibidi tulipe upya tukapeleka project Rwanda. Vijana wamedesign from scratch na within 4 month wamekabidhi kazi.

Sasa naelewa kwa nini watu hawataki kuwekeza kwenye IT Bongo. Ujinga mtupu. Hawa vijana wetu wafuge tu kuku kwa kweli. Hivi nyie ndo mtaweza hata kushindana na Bolt+uber?.

Anyway sijui CS/IT mnafundishwa nn huko vyuoni. Natamani kujua mitaala yenu.

100% disappointed.

Ni sifuri Kabisa 100%
 
Asili ya mbongo ni msanii msanii anayependa short cut hataki kujifunza wala kuumiza kichwa na sasa GOOGLE ndio imekuwa kichaka cha wavivu

1. Tuna degree za google ni copy and paste library vitabu hawasomi

2.Tuna P.H.D za google unakuta mtu kaandika likitabu kuubwa hata ndani yake hajui kuna nini, akisha search ile key word basi ana copy nzima na kubandika , sasa ukutane na cover alivyoliremba na tittle ilivyondefu utadhani kafanya tafiti kweli

4.Hili suala la IT ndio ugonjwa wa Taifa kabisa, unakuta kuna vijana wengi wana ma vyeti ya kutisha lakini ukiwa na kampuni na unahitaji mfumo lazima uende india bila hivyo mbongo atakusimulia hadithi za abunwasi za programing ukimpa kazi ndio anarudi kwa BABA WA WAVIVU MZEE MWENYEWE GOOGLE
Kuna mdogo wangu. Yeye chuo kasomea law Ila anafanya programming kwa sababu ndiyo anapenda. Mpaka Sasa ana vyeti 12 vya programming languages ambavyo amejisomea online mwenyewe. Anatengeneza apps from scratch.

Jamaa mleta mada alivyosema hao contractors wake walichukua template wakaedit nikakumbuka huyu dogo alienda kwenye kampuni moja wakamweleza kuhusu kazi moja ya website ambayo 'IT' wao alikuwa anafanya. Dogo kuiscan akagundua ni template imeeditiwa mpaka source akawapa, hapohapo wakampa mkataba wa partnership.
 
Back
Top Bottom