Wataalamu Wa IT Mtusaidie Kwenye Hili

Wataalamu Wa IT Mtusaidie Kwenye Hili

Tumbo Tumbo

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Posts
1,278
Reaction score
1,556
KUHUSU PURPOTEDLY "VIDEO CHAFU" YA GWAJIMA

Kuna video inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ambayo watu wanasema ni ya Gwajima. Nilikuwa ofisini leo, rafiki yangu akaja na kusema, "Umeona Gwajima alichofanya?"

Nimeiangalia ile video lkn kwa sekunde chache tu nimegundua kuwa ni "fake video." So nikabidi nimpe soma yule kijana ile asiamini kila kitu kinachorushwa mitandaoni.

Now allow me to elaborate (nifafanue) kwanini nashawishika kusema kuwa ile video SIO ya Gwajima.

Kuna kitu kitaalamu kinaitwa "photoshopping," ambacho huyu jamaa alijaribu kukitumia lakini akashidwa ku-excute vizuri. Basically, Photoshopping is the process of altering (a digital image) with Photoshop software or other image-editing software especially in a way that distorts reality (as for deliberately deceptive purposes).

Kwa tafsiri ya Kiswahili, hiki ni kitendo cha kubadilisha picha kwa kutumia software maalum za kuhariri picha kwa kusudi la kupotosha kwa ajili ya kufanya udanganyifu wa makusudi.

1). Alichokifanya huyu jamaa aliyetuma hizi picha ni kuchukua video halisi ya Gwajima (ile video ya kwanza aliyokuwa amepumzika kitandani kifua wazi), halafu akaamua kulaghai umma kwa kuweka chini yake video nyingine za mtu tofauti kabisa (anayefanana kwa mbali na Gwajima), ili kuwaaminisha watu kuwa aliyepo kwenywe ile video ya chini ni Gwajima. Kwa mtizamo wangu binafsi aliyeko kwenye video ya pili sio Gwajima.

2). Hebu ichunguze video ile kwa makini. Utagundua (angalia angle ya Camera), kuwa ile video ilikuwa inarekodiwa na mtu mwingine tofauti na Gwajima. Evidence: Kwanza hakutaka sura ya "fake Gwajima" ionekane. Why? Kwasababu alijua akimulika Camera direct usoni kwa huyo anayesemwa kuwa ni Gwajima, watu wenye akili timamu watagundua kuwa sio Gwajima yule. So alichokifanya alikuwa anakwepesha Camera ismulike usoni.

3). Gwajima ni mtu mjanja sana hawezi akaruhusu afanye mapenzi hali akijua kuwa ana maadaui wengi sana wasiomtakia mema huku akiruhusu mtu mwingine arekodi video. Hata kama ni mimi nisiye na maadui wengi wa kisiasa nisingweza kufanya such a rockie mistake. Kwanini nasema vivyo? Nasema hivyo kwasababu, ukiangalia ile video vizuri, utaona kuwa kuna kipindi mtu aliyekuwa anarekodi alikosea kidogo Camera ikamulika usoni kwa "fake Gwajima".... then faster, "fake Gwajima" akanyoosha mkono kukinga ili asionekane usoni. Sasa kama kweli alikuwa Gwajima, kwanini video ya kwanza (ambayo haisusiani kabisa na hii ya uchafu wa kijinga unaosambaa mitandaoni, yaani video ya pili) ghafla aamue kuficha sura hali ameshajiachia na kujionyesha kwenye video ya kwanza? Think people! Acha mihemuko!

4). Kingine, yule Binti aliyeko kwenye picha ya kwanza ni kaportable fulani. Mwembamba mwenye superb figure. But huyu aliyeko kwenye hii "fake video" ya pili ananekana ana kitambi / katumbo. Wapi na wapi mazee....!!

Aliyefanya huu ushenzi inabidi asakwe alafu afungwe miaka mingi sana ili suala kama hili lisijirudie tena!

I rest my case. You decide.

Me, Gustanza the Great.
 
Gwajima fake ni yupi hapo?. Wivu tu
Screenshot_20190507-181306.jpeg
 
Usitudanganye hapa, mimi nimesomea hayo mambo, You can tell me nothing kwenye , photography , video production , editing nk, weka proofs hapa
 
Deepfake na picha za ngono
Deepfake ni software A.I(Artificial Intelligence) ambayo inaweza kuswap picha ya sura ya mtu yoyote unayoitaka na kuiweka kama mhusika kwenye video unayoitaka
kutengeneza video za deepfake ni rahisi sana unachotakiwa ni kuwa na picha za mhusika na kuachia software ifanye yake....
ingawa dhumuni la deepfake halikuwa kutengeneza video za ngono,,utawaweza watu!
baadhi ya wasanii wakubwa na wanasiasa ni wahanga wa deepfake porn,wasanii kama ema watson,michelle obama,ivanka trump,etc.
viddeo fake zao za ngono zimetengenezwa kwa kutumia deepfake......
sites kubwa kama reddit,pornhub zimepiga ban video za deepfake....
ukitaka kuziona google deepfake porn utazipata na utaelewa jinsi zinavyokuwa
tehteh moja ya deepfakes zilizotengenezwa ni trump na hillary clinton wakifanya yao.....

tukija kwenye video ya gwajima kuitambua kama ni deepfakes au la
nitarudi.......
hivyo basi kwa hiyo mtu yoyote yule anaweza kutengenezewa video za deepfake kwa lengo la kumchafua....
 
Kwa wangaliaji ma video ya x hayo uliyoandika yote uongo, wapenzi wanapojirekodi wengi huficha sura na mara nyingi wadada huwa hawapendi kabisa kurekodiwa. Huyu ni gwajima na ameburudisha kwa video yake. Na ulokole wenu feki kazi kuwasema mapadri tuu wazinzi kumbe nyie ndo wabaaaaaaaaaaaya!
 
hizo IT Mmesoma nyinyi peke yenu tusidanganyane hapa ili video kuwa processed inabidi kuandaliwa inamaana gwajima afanyiwe recording kwenye kitambaa cha blue au green tena sehemu ambapo light imekua balanced then jamaa mwingine afanyiwe recording sehemu hiyo hiyo lakini kumbuka ni ngumu sana kutengeneza video ya uongo , ingekua picha ni rahisi lakini kuedit moving picture sio kitu rahisi video inaonekana ni original sio ya editing tusidanganyane kwa kigezo cha IT wala artificial intelligence bado haijafikia kiwango hicho artificial intelligence ambayo imefikia kiwango cha juu katika image recognition wanatumia google sasa hiv katika integration na google drive na photo drive lakini still ina some many errors katika performance so tusidanganyane na IT zenu za uchocholoni
 
Halafu hawa wanaomtetea,unaweza kuta ndio wale waimba kwaya wake. Mwacheni ajibu tuhuma zake otherwise uwe mwanasheria wake.
 
Deepfake na picha za ngono
Deepfake ni software A.I(Artificial Intelligence) ambayo inaweza kuswap picha ya sura ya mtu yoyote unayoitaka na kuiweka kama mhusika kwenye video unayoitaka
kutengeneza video za deepfake ni rahisi sana unachotakiwa ni kuwa na picha za mhusika na kuachia software ifanye yake....
ingawa dhumuni la deepfake halikuwa kutengeneza video za ngono,,utawaweza watu!
baadhi ya wasanii wakubwa na wanasiasa ni wahanga wa deepfake porn,wasanii kama ema watson,michelle obama,ivanka trump,etc.
viddeo fake zao za ngono zimetengenezwa kwa kutumia deepfake......
sites kubwa kama reddit,pornhub zimepiga ban video za deepfake....
ukitaka kuziona google deepfake porn utazipata na utaelewa jinsi zinavyokuwa
tehteh moja ya deepfakes zilizotengenezwa ni trump na hillary clinton wakifanya yao.....

tukija kwenye video ya gwajima kuitambua kama ni deepfakes au la
nitarudi.......
hivyo basi kwa hiyo mtu yoyote yule anaweza kutengenezewa video za deepfake kwa lengo la kumchafua....
Ni kweli kabisa mkuu..nilikua nimepanga kuanzisha uzi wa hii kitu ujitegemee kabisa,,
 
Kwahiyo video ya kwanza ni yeye na ya pili si yeye... Mtumishi unajirecord uko kifua wazi kwa lengo lipi.. na kwanini uikane ya pili wakati ya kwanza umeikubali
Umemaliza mkuu! Sina cha kuongeza! Fu**king bullshit bishop!
 
Back
Top Bottom