eros
JF-Expert Member
- Jan 13, 2012
- 540
- 597
The age of deepfake: When seeing is no longer necessarily believingNi yeye kabisa kwasababu hata miguno yake niile ile yakukoroma kama anavyokemea
The age of deepfake: When seeing is no longer necessarily believingNi yeye kabisa kwasababu hata miguno yake niile ile yakukoroma kama anavyokemea
Kwahiyo wewe ni mke wa gwajima unaujua sana mwili wake!Ni kichaa pekee ataamini huu mwili ni wagwajima
Haya mcheze pornoo huyuuu Tuonee[emoji23][emoji23][emoji23]Sijaiona hiyo video but ngoja nikurecap kidogo,
Kuna Technology ya 3D Printing sema bongo kidogo utata zinafanywa nnje, lakini unaweza fanya ukiwa bongo.
sura yako inatengenezwa kwa mkono kwenye 3D Sculpting/modelling software, baada ya hapo wanaprint Mask then mtu anavaa kwenye kichwa chake.
Ndicho wanachofanya wenzetu siku hizi, kwenye movies nyingi sana, ndio vile unavyoona mtu kakata kichwa cha mtu na kukishika, kile alichoshika ni plastic model tu and nothing else bob,
Technology itself cost a lot, it even peak 800USD for a single model, apart from printing.
Hata kama una movie yako unahitaji ufanye effects kama hizo nitafute, but i don't do porn, am a 3D Generalist.
and this below ni some models ambazo zipo BADO kwenye progress japo ya madame niliterminate.
Kinachofanyika ni stages kadhaa japo kila moja ina mapana yake,
kwa haraka haraka, unafanya sculpting ya clay model, then unafanya retopology, then uv, then texturing, then baking. softwares ni nyingi unazoweza zitumia, siyo moja tuu, but i takes a time to get there, as rule of thumb goes a long time for untalented.
View attachment 1091452
![]()
View attachment 1091445
View attachment 1091447
View attachment 1091448
View attachment 1091449
![]()
View attachment 1091454
View attachment 1091455
![]()
![]()
![]()
Wenzetu wanafanya kwenye fake terorist videos n.k
Kwa hyo ukiwekewa mwili wa messi na zlatan uzitofautishe mpaka uwe mke wa messi ndio unaweza kuona tofauti?Kwahiyo wewe ni mke wa gwajima unaujua sana mwili wake!
unajua deepfake au unaongea tu kwa sababu unaropoka,,,,hizo IT Mmesoma nyinyi peke yenu tusidanganyane hapa ili video kuwa processed inabidi kuandaliwa inamaana gwajima afanyiwe recording kwenye kitambaa cha blue au green tena sehemu ambapo light imekua balanced then jamaa mwingine afanyiwe recording sehemu hiyo hiyo lakini kumbuka ni ngumu sana kutengeneza video ya uongo , ingekua picha ni rahisi lakini kuedit moving picture sio kitu rahisi video inaonekana ni original sio ya editing tusidanganyane kwa kigezo cha IT wala artificial intelligence bado haijafikia kiwango hicho artificial intelligence ambayo imefikia kiwango cha juu katika image recognition wanatumia google sasa hiv katika integration na google drive na photo drive lakini still ina some many errors katika performance so tusidanganyane na IT zenu za uchocholoni
Wewe ndo unaropoka... Wewe hata kuedit picha huwezi kutetea ufuska tuu hapaa.. Kwani Gwaji hana mboooo??? Mbona mnamtetea hivyooounajua deepfake au unaongea tu kwa sababu unaropoka,,,,
na sijui ujinga gani umeongea hapo "google drive na photo drive" kama hujui kitu kaa kimya..
nani kamtetea gwajima?,na ni wapi nimemteteaa gwajima?Wewe ndo unaropoka... Wewe hata kuedit picha huwezi kutetea ufuska tuu hapaa.. Kwani Gwaji hana mboooo??? Mbona mnamtetea hivyooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aaha kumbe unajielewaa...nani kamtetea gwajima?,na ni wapi nimemteteaa gwajima?
mtu kama hujui A.I ni bora ukae kimya kuliko kuongea huo ujinga eti haiwezikani kutengeneza video kama hiyo,,,
sasa google drive haujui au ndio ujinga umekuingia kichwani unabisha ushuzi wakati askofu wako mzinzi ngoja aende kukubali alafu urudi na hiyo deep yakounajua deepfake au unaongea tu kwa sababu unaropoka,,,,
na sijui ujinga gani umeongea hapo "google drive na photo drive" kama hujui kitu kaa kimya..
Gwajima fake ni yupi hapo?. Wivu tuView attachment 1091224
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hata ilee dyudyu sio ya Gwajimaa ni fake...[emoji57][emoji57][emoji57]Angalia paji la uso fake limechonoka, wakati la uso wa ukweli ni flat!!
sawa mkuu google drive na image recognition ,you're very bright,very genius,,,I rest my case...sasa google drive haujui au ndio ujinga umekuingia kichwani unabisha ushuzi wakati askofu wako mzinzi ngoja aende kukubali alafu urudi na hiyo deep yako
Nimetoa fact tu mkuu, video kama hizo zinaweza kutengenezwa na mtu yoyote yule,,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aaha kumbe unajielewaa...
SWALA SIO KIUNO NA SURA INAMATA 😀😀Yule dada na kiuno chake kigumu kama maisha.. Unakuta kajengewa nyumba na ana biashara zake nzuri tu.. Wewe kiuno feni oyaa oyaa .. Kitu mundende unamiliki miwani ya buku 3 na wigi ulipewa bure
ya kutengeneza haiwezi kuwa really kama vilee...No way[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] Bhasi kwa Kashogi wangetengeneza video anatoka kwenye ulee ubalozii japo kwa suraa tuu..Nimetoa fact tu mkuu, video kama hizo zinaweza kutengenezwa na mtu yoyote yule,,
tehteh ndiyo maana nikasema sijui kama hiyo video ni real or fake (tehtehteh)......