Wataalamu Wa IT Mtusaidie Kwenye Hili

Wataalamu Wa IT Mtusaidie Kwenye Hili

noma kweli, Technology zinazotolewa hapa.

Ila kama ni deepfake ukijaribu kuiupload pornhub inabidi ikatae coz wana program yao ya kuverify kama video imekuwa virtually created kwa deepfake au some other software.

So proof iko hapa:: Kama hio video imekubali kuingia pornhub basi video ni real.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ngomaa ipo kwa hewaa
 
Yule dada na kiuno chake kigumu kama maisha.. Unakuta kajengewa nyumba na ana biashara zake nzuri tu.. Wewe kiuno feni oyaa oyaa .. Kitu mundende unamiliki miwani ya buku 3 na wigi ulipewa bure
Yule alitumwa kwa kazi maalum alivyomaliza kapotea zake huoni hata gwajima mwenyewe anasema alipewa juice baada ya hapo hajui kilichoendelea(ni kama alipoteza fahamu)
Lakini, je mtu alipoteza fahamu anakata viuno namna ile kweli?
 
Kwahiyo video ya kwanza ni yeye na ya pili si yeye... Mtumishi unajirecord uko kifua wazi kwa lengo lipi.. na kwanini uikane ya pili wakati ya kwanza umeikubali

Kwani kuwa kifua wazi ni kosa au dhambi??usipende kukremu jaribu kuelewa kila kitu
 
Back
Top Bottom