Wataalamu wa China wamethibitisha kuwa dawa ya Malaria aina ya Chloroquine Phosphate ina ufanisi wa kutibu ugonjwa wa COVID-19

dawa ya parasite itatibu vip virus??

Sent using Jamii Forums mobile app
Haiuwi virus bali inatibu secondary infection ambayo ni hiyo pneumonia.
Wale watu wanakufa kwa hiyo homa ya mapafu sio wale virus.

Virus wanauwawa na kinga ya mwili au zile dawa kama ARV.

Ni kama wakati flani mafua yatokanayo na viral infection husababisha hiyo homa ya mapafu (pneumonia).
Unakuta mtu anaandikiwa antibiotics pamoja na dawa za kuzuia mafua (za allergy).

NOTE: Mimi sio daktari.
 
asante kwa maelezo but bado sijaridhika

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa sababu kama ukitreat secondary infection unakuwa ujaondoa the primary cause of secondary infection
mfano mgonjwa wa HIV akipata TB
anapewa dawa za TB lakini still HIV anaendelea kuwa nayo coz wale virus wanakuwa hawajaathiriwa na dawa za TB

So how come unasema wamepata tiba ya corona tena kwa kutreat secondary infection
kama COVID 19 wanaleta pneumonia basi hata kama mgonjwa akipona kwa kunywa chloroquine ataendelea kuugua tena na tena

hapo tiba iko wapi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rosicky,
Huenda kuna maajabu au sayansi inayo endelea hapo kati na kusababisha kupunguza au kuuwa kabisa COVID19.

Hatujui kwa undani ni kubahatisha tu.
 
Haiuwi virus bali inatibu secondary infection ambayo ni hiyo pneumonia.
Wale watu wanakufa kwa hiyo homa ya mapafu sio wale virus.

Virus wanauwawa na kinga ya mwili au zile dawa kama ARV.

Ni kama wakati flani mafua yatokanayo na viral infection husababisha hiyo homa ya mapafu (pneumonia).
Unakuta mtu anaandikiwa antibiotics pamoja na dawa za kuzuia mafua (za allergy).

NOTE: Mimi sio daktari.
Acheni usenge
 
kwa sababu kama ukitreat secondary infection unakuwa ujaondoa the primary cause of secondary infection
mfano mgonjwa wa HIV akipata TB
anapewa dawa za TB lakini still HIV anaendelea kuwa nayo coz wale virus wanakuwa hawajaathiriwa na dawa za TB

So how come unasema wamepata tiba ya corona tena kwa kutreat secondary infection
kama COVID 19 wanaleta pneumonia basi hata kama mgonjwa akipona kwa kunywa chloroquine ataendelea kuugua tena na tena

hapo tiba iko wapi??

Sent using Jamii Forums mobile app
siwanasena virus hawana dawa zaidi ya kinga ya mwili wenyewe.
So nadhani kinachotibiwa ni adhara ya hao virus baada yakushambulia.

kinachotafutwa ni kipi kitaongeza kinga ya mwili ili virus wakose pozi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom