ashomile
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,625
- 2,443
Habari Ndugu zanguni?
Mimi nahitaji nitumie umeme wa solar maana nilipoweka makazi umeme wa tanesco haujafika.
Nataka nitumie
i) Taa (04)
ii) Kuchaji Simu (07)
iii) Sabufa (01) tu .
Je, napaswa ninunue solar gani na betri gani? Na nahitaji nipate mafundi wazuri wakunifungia vifaa hivyo. Pia nahitaji niwe natumia inverter na resistanca ili kuuweka umeme stable.
Ushauri Wenu naombeni.