Yaani hawa watu washamba sana kwenye mahusiano wanahonga sana na wakiwa kwenye ndoa wanaendeshwa sana yaani mpaka aibu maana kuna mmoja nakaa nae hapa yaani ni balaa deki apige yeye, afue, aogeshe watoto limwanamke limekaa tu linabenjua mdomo na sio huyo wasukuma wengi kwenye mapenzi na ndani ya ndoa ni mazezeta sana.
sirudi kijijini.
we unatafuta wangap?! ni Pm namba yako nikucheck watsapp
wanahonga ila hawajui kulea familia hawajui kupenda wanauzombi wa k
Lisilokuhusu lisikusumbue!!
Pilipili usiyoila yakuwasha nini?Yaani hawa watu washamba sana kwenye mahusiano wanahonga sana na wakiwa kwenye ndoa anaendeshwa sana yaani mpaka aibu maana kuna mmoja nakaa nae hapa yaani ni balaa deki apige yeye, afue, aogeshe watoto limwanamke limekaa tu linabenjua mdomo na sio huyo wasukuma wengi kwenye mapenzi na ndani ya ndoa ni mazezeta sana.
sirudi kijijini.
Aisee wasukuma mi nawapenda kasoro yangu mi mweusi nasikia kule hatunaga soko kabisa lol
Vp mwallu? Nimekugusa nini?Mambo gani hayo sasa?
Atakuwa mweupe! Weupe tuna soko usukumani kumbe??Huyo dada ni mweupe?
eeHivi kumbe wasukuma ndio tunafikiriwa hivyo,tutaanza kufanya Kama wakurya ndio muone mahusiano machungu
Ukileta romance kwa mwanamke wa kikurya anakushushua ''unaniramba ramba kwani mi ndama? Hebu fanya haraka nikalime!''
Kwani kumsaidia mpz wako kazi za nyumbani ni ulimbukeni ?? Acheni hizo hayo ni mapenzi ya wawili .mimi mwenyewe nilikuwa nafanya kazi zote za nyumbani nilikuwa najickia raha sana kumsaidia kazi za nyumbani ,kupika ,kuongesha wtt,kukosha vyombo hata kumfulia nguo zake mpz wangu .na hasa raha iliyo je kumfuria chupi zake na hata ham ya mzuka wa kale kamchezo unapanda ile mbaya ,tena na mmiss ile mbaya sasa hv alikuwa mpz wangu .hayo ni mapenzi badugu cyo ulimbukeni .wasukuma wanajua mpz ila baraha ukitaka kuowa .mahari zao ni majanga ni kuanzia 6mil na kuendelea ,hapo wananibored saaaana .ziki yao yote wanataka kukubebesha ,wanabored saaana na kunichafua rohoo