HAHAHAHAAAH,hiyo ni changamsha jukwaa tu,warundi wanajua kupenda kweli kweli.Kuna kale ka msemo"Mungu anakupa wa kufanana nae" inawezekana pia umepewa wa kufanana nae!!
Sijaelewa kunyanyasa mwanaume au mwanamke?Kunyanyasa mwanamme ndo kupendwa au sijaelewa?
Gawiza Ng'wanikeNijuavyo mie wasukuma wanajua kupenda,mtu yeyote akipenda hatoona ajabu kutoa ama kufanya lolote kwa ajili ya mke wake,sasa wewe kama umeolewa na chagga au pale jipange kua mjasiliamali maana changu changu chako tafuta mwenyewe.natamani ningeolewa na msukuma mwenzangu
ole nchilu chilu nyanda, mihayo ke yene?Yaani hawa watu washamba sana kwenye mahusiano wanahonga sana na wakiwa kwenye ndoa anaendeshwa sana yaani mpaka aibu maana kuna mmoja nakaa nae hapa yaani ni balaa deki apige yeye, afue, aogeshe watoto limwanamke limekaa tu linabenjua mdomo na sio huyo wasukuma wengi kwenye mapenzi na ndani ya ndoa ni mazezeta sana.
sirudi kijijini.
karibu sana mama, ila kazi yangu kugegeda tu kuosha vyombo labda unipige limbwatahahahahaha!!,na mie ntatafuta msukuma
ga nywana gete agayanda aka gaguhayaga giki nabiswe dubange bazaramo,Onywanoko ebe wilembaga duhu...jichanganye kwangu mm hapa msukuma utampa feedback alokutuma kuanzisha huu uzi
Wasukuma wananyanyasika apo anaosha vyombo, anafua, anatawaza mtoto, we mama umekaa pemben unakunja mdomo,.. Ndo mapenzi ayo?Sijaelewa kunyanyasa mwanaume au mwanamke?

Kusaidizana,yes ni mapenzi.Mbona wazungu wanaume wanaosha vyombo,kazi zote za ndani wanafanya.Wasukuma wananyanyasika apo anaosha vyombo, anafua, anatawaza mtoto, we mama umekaa pemben unakunja mdomo,.. Ndo mapenzi ayo?
Heshima yako mkuu. Nimeiona tashtiti !!!Mkuu Molembe, huo sio ulimbukeni, ndio kupenda kwenyewe huko, na haswa huyo mwanamke kama ni cheupe, tuko tayari kufanya chochote in the name of love, tukipenda, tumependa, hata mimi, kwa wanaonijua in reality, nilikuwaga na benzi, nimehonga, sasa natembelea bajaji, nilikuwa na nyumba tena ghorofa Mbezi Beach, nimehonga kwa cheupe fulani, sasa naishi kwa Mtogole na sijutii, hadi leo hadi kesho, sijilaumu!. Ndio zetu.
P
hahahahaha!!,na mie ntatafuta msukuma