Wasukuma acheni ulimbukeni kwenye mapenzi

Yaani hawa watu washamba sana kwenye mahusiano wanahonga sana na wakiwa kwenye ndoa wanaendeshwa sana yaani mpaka aibu maana kuna mmoja nakaa nae hapa yaani ni balaa deki apige yeye, afue, aogeshe watoto limwanamke limekaa tu linabenjua mdomo na sio huyo wasukuma wengi kwenye mapenzi na ndani ya ndoa ni mazezeta sana.
sirudi kijijini.
Pole wamekuchukulia nonino yako? Tafuta mwingine maisha mbele kwa mbele
 
Yaani hawa watu washamba sana kwenye mahusiano wanahonga sana na wakiwa kwenye ndoa wanaendeshwa sana yaani mpaka aibu maana kuna mmoja nakaa nae hapa yaani ni balaa deki apige yeye, afue, aogeshe watoto limwanamke limekaa tu linabenjua mdomo na sio huyo wasukuma wengi kwenye mapenzi na ndani ya ndoa ni mazezeta sana.
sirudi kijijini.

Haki sawa majukumu kwa ote kasolo kubeba mimba na kunyonyesha.
 
wanahonga ila hawajui kulea familia hawajui kupenda wanauzombi wa k
 
Yaani hawa watu washamba sana kwenye mahusiano wanahonga sana na wakiwa kwenye ndoa wanaendeshwa sana yaani mpaka aibu maana kuna mmoja nakaa nae hapa yaani ni balaa deki apige yeye, afue, aogeshe watoto limwanamke limekaa tu linabenjua mdomo na sio huyo wasukuma wengi kwenye mapenzi na ndani ya ndoa ni mazezeta sana.
sirudi kijijini.

Molembe mwenzio haoni huo ushamba kwake ni poa tu, tabu yako nini! Fanya mambo yako ya wenzio waachie! Hayakuhusu!
 
Tatizo la wakurya wana dharau sana wanawakee

Mura wewe mwanamke kazi yako kuzaa tu! Mi Nina rafiki yangu mkurya enzi tupo shule ya msingi yule binti alikuwa akikosea anachapwa na mdogo wake wa kiume chini ya usimamizi wa baba Yao!! Chezea mkurya wewe!!!
 
Urakoze!lakini wote wale wale tu,Wasukuma ndo mambo yote,huyu mleta maada anawachukia,wakati wenzake wanajua kupenda,kupenda ni vitendo ndo maana wanawasaidia kazi wake zao,wakiwatunza wake zao eti mnasema wanahonga,Ngosha ndo mwanaume,mwanamke hawezi juta kuolewa na Ngosha

Ng'wangaruka binti wa Lihiru. :A S 11:
 
We umetoswa na msukumaa wewe wanaume watu ni balaa kuanzia nje .sebuleni,chumbani ndio balaaaaa,utuwacheeeer kila mwanaume ukitaka kupelekeshwa na mwanamke utapelekeshwaaaa,
Nyie si mpaka umtoe ngeo usoni utafikiri unakua umeoa kinyago full alama mpaka kalion tuwaaaacheeeee

Hahahahahahaaaaaaa

Jamani wasukuma kweli tunapendwa!
 
Mura wewe mwanamke kazi yako kuzaa tu! Mi Nina rafiki yangu mkurya enzi tupo shule ya msingi yule binti alikuwa akikosea anachapwa na mdogo wake wa kiume chini ya usimamizi wa baba Yao!! Chezea mkurya wewe!!!

Mambo gani hayo sasa?
 
Yaani hawa watu washamba sana kwenye mahusiano wanahonga sana na wakiwa kwenye ndoa wanaendeshwa sana yaani mpaka aibu maana kuna mmoja nakaa nae hapa yaani ni balaa deki apige yeye, afue, aogeshe watoto limwanamke limekaa tu linabenjua mdomo na sio huyo wasukuma wengi kwenye mapenzi na ndani ya ndoa ni mazezeta sana.
sirudi kijijini.

...nahisi kunavitu umekula vina aleji imegusa ubongo...
 
Hahahahah! Aisee wewe unaongeza kuchafua jukwaa, maana ilikuwa wasukuma, wakatajwa wahutu wamefuatia watusi na wewe unaleta wahaya!!!

Si unawajua wakora waitu walivyo na majivuno,wakurya hawaongeiagi hivyoo ndio namshangaa
 
Back
Top Bottom