Wasukuma acheni ulimbukeni kwenye mapenzi

Wewe mara uwatukane wasukuma mara uwarukie watusi kua na adabu dogo wengine sio saiz yako to any means, Endelea sasa
 
We umetoswa na msukumaa wewe wanaume watu ni balaa kuanzia nje .sebuleni,chumbani ndio balaaaaa,utuwacheeeer kila mwanaume ukitaka kupelekeshwa na mwanamke utapelekeshwaaaa,
Nyie si mpaka umtoe ngeo usoni utafikiri unakua umeoa kinyago full alama mpaka kalion tuwaaaacheeeee
 
Nawapenda wasukuma hadi basi kwa kuhonga tu wamebarikiwa kwakweli...

Kumbe unajuaa wanajua kujali sio kuhonga tu,hata yale mambo yetu weeee, za siku za kunigaya sikupendi siku hiz toka ulivyonipitilizaaa
 
Wasukuma wanajali sana yani kwao kila kitu ndoho tabu...
 
Yaani hawa watu washamba sana kwenye mahusiano wanahonga sana na wakiwa kwenye ndoa wanaendeshwa sana yaani mpaka aibu maana kuna mmoja nakaa nae hapa yaani ni balaa deki apige yeye, afue, aogeshe watoto limwanamke limekaa tu linabenjua mdomo na sio huyo wasukuma wengi kwenye mapenzi na ndani ya ndoa ni mazezeta sana.
sirudi kijijini.

Wajinga ndio waliwao
 
thats none of your business. Unajua wametoana wapi? Inawezekana msukuma anafurahia halafu wewe mpiga chabo unaumia. Huu ndio tunaita umbea
 
unatusingizia ilo ni swala la tabia ya mtu si swala la kikabila kupelekwa na kumpeleka mtu ovyo ni tabia ya mtu. Reaction ni hatua nyingine kwa hiyo si wasukuma hatuko hivyo wala si wadhaifu kiasi ambacho kinatajwa hapa, mtoa mada ungelenga kwa kusema baadh ya wanaume muwe na kauli na si wasukuma msiwe.......
 
Yaani hawa watu washamba sana kwenye mahusiano wanahonga sana na wakiwa kwenye ndoa wanaendeshwa sana yaani mpaka aibu maana kuna mmoja nakaa nae hapa yaani ni balaa deki apige yeye, afue, aogeshe watoto limwanamke limekaa tu linabenjua mdomo na sio huyo wasukuma wengi kwenye mapenzi na ndani ya ndoa ni mazezeta sana.
sirudi kijijini.

Sasa wewe kakukera nini mapenzi yao waache we unajua anapewa nini na mkewe kitandani?
 
Back
Top Bottom