mpandaone
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 527
- 300
Hawawakina mpinaLeo nilienda kupungwa upepo coco, ila nilichokutana nacho kwa hawa ndugu zetu wasukuma kimenishangaza!
Vijana wanaongea kilugha tu mwanzo mwisho(kisukuma) kama vile wapo usukumani!
Acheni ushamba bana, tumieni kiswahili mnapokuwa mjini. Hawana hata aibu wanaongea kwa sauti kubwa kila mtu anawashangaa wao! Mnakera kiukweli.