Wasukuma acheni kuongea kilugha mkiwa mjini

Hii ni lugha ya pili inayozungumzwa na wengi hapa Tanzania. Tena inatakiwa kuwa iwe lugha rasmi ya taifa
Lugha ni njia kuu ya mawasiliano na kupata elimu na ujuzi mpya wa maisha. Unapojichanganya na jamii zingine na wewe ukaendelea kung'ang'ana ya lugha yako ya asili unakosa kupata au kujifunza mambo mapya kutoka kwa jamii mpya unayokutana nayo. Jambo hili limefanya hawa wenzangu wasukuma kurudi nyuma kimaendeleo au kuendeleza makosa ambayo wameyafanya huko kwao walikotoka. Mfano mikoa ya Kigoma na Katavi wameingia wasukuma wengi na wanapenda sana kuongea lugha yao hata huko ugenini, hivyo hawajifunzi. Matokeo yake wameendeleza makosa yale yale ya kufyeka misitu na kuharibu vyanzo vya maji kama walivyofanya huko kwao walikokimbia.. Si hiyo tuu hata kuendekeza ufugaji wa kizamani wa kuwa na mifugo mingi.
 
Hebu acha kutetea ujing, ushamba na upuuzi wlichokifanya hawa jamaa.. fikiria watu wanawashangaa wao tena yanaongea kilugha kwa sauti kubwa.
Umeona wapi nimetetea? Haujaona nimeuliza swali? Au kusoma unajua ila huna uwezo wa kuelewa?
 
Lugha ni njia kuu ya mawasiliano na kupata elimu na ujuzi mpya wa maisha. Unapojichanganya na jamii zingine na wewe ukaendelea kung'ang'ana ya lugha yako ya asili unakosa kupata au kujifunza mambo mapya kutoka kwa jamii mpya unayokutana nayo. Jambo hili limefanya hawa wenzangu wasukuma kurudi nyuma kimaendeleo au kuendeleza makosa ambayo wameyafanya huko kwao walikotoka. Mfano mikoa ya Kigoma na Katavi wameingia wasukuma wengi na wanapenda sana kuongea lugha yao hata huko ugenini, hivyo hawajifunzi. Matokeo yake wameendeleza makosa yale yale ya kufyeka misitu na kuharibu vyanzo vya maji kama walivyofanya huko kwao walikokimbia.. Si hiyo tuu hata kuendekeza ufugaji wa kizamani wa kuwa na mifugo mingi.
Nikuulize hapo kigoma wasukuma wanaendelea kununua maeneo yenu kila siku mpo mnatoa macho! Wewe endelea kuuza nafaka sokoni maana ndo biashara unayoweza!
Wasukuma ni hard working sijui unaongelea maendeleo gani hayo ambayo waha wanayo kuwazidi wasukuma!
Hakuna jamii wazembe na wabinafsi kama waha!
Wakiwa mkoani utawaona wachapakazi ila fika kigoma!
 
Wasukuma mmekuja kunishambulia wakati nimewambia ukweli!! Acheni upuuzi badilkeni
 
Nauliza swali la kijinga, ikitokea wazungu wawili wamekutana Tanzania na wakawa wanawasiliaa kwa lugha waliyoizoea (Kiingereza) badala watumie kiswahili maana wapo kwa waswahili, huo tutaita ushamba au ujanja?

Na vipi watanzania wawili wakikutana mfano Uingereza na wakabonga kiswahili badala ya Kiingereza, tutaita ujanja au ushamba?

Nitoeni tongotongo kwa hili.
Kama nawewe ni musukuma endelea kula michembe na matobolwa
 
huyo bwege hana majibu atakusumbua tu! Hapo ukiangalia ni chuki tu!
Kuna mazingira kama Hao wazungu may be hawajui kiswahili ,hiyo sio kesi....na hao wabongo nao pengine hawajui kizungu ..hii nayo sio kesi

Lakini sio kwa hao wasukuma ambao nina imani kiswahili wanakijua vizuri tu lakini wanakomaa kuongea ukabila wao...huo ni ushamba
 
Nauliza swali la kijinga, ikitokea wazungu wawili wamekutana Tanzania na wakawa wanawasiliaa kwa lugha waliyoizoea (Kiingereza) badala watumie kiswahili maana wapo kwa waswahili, huo tutaita ushamba au ujanja?

Na vipi watanzania wawili wakikutana mfano Uingereza na wakabonga kiswahili badala ya Kiingereza, tutaita ujanja au ushamba?

Nitoeni tongotongo kwa hili.
Sasa hao sio wazungu ni watanzania
 
Leo nilienda kupungwa upepo coco, ila nilichokutana nacho kwa hawa ndugu zetu wasukuma kimenishangaza!

Vijana wanaongea kilugha tu mwanzo mwisho(kisukuma) kama vile wapo usukumani!

Acheni ushamba bana, tumieni kiswahili mnapokuwa mjini. Hawana hata aibu wanaongea kwa sauti kubwa kila mtu anawashangaa wao! Mnakera kiukweli.
Kuongea kilugha ni ushamba , au wewe ndo mshamba maana mkataa kwao ......
 
Nauliza swali la kijinga, ikitokea wazungu wawili wamekutana Tanzania na wakawa wanawasiliaa kwa lugha waliyoizoea (Kiingereza) badala watumie kiswahili maana wapo kwa waswahili, huo tutaita ushamba au ujanja?

Na vipi watanzania wawili wakikutana mfano Uingereza na wakabonga kiswahili badala ya Kiingereza, tutaita ujanja au ushamba?

Nitoeni tongotongo kwa hili.
Kiingereza na kiswahili sio LUGHA za makabila (sio lahaja wala crioli), kilichoguswa hapo ni kupiga mwingi kwenye lugha ya mama
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom