Wastaafu tunamshukuru Rais Samia, pensheni inaingia kwa wakati

Leo tarehe 24.3.2022 pensheni kwa Wastaafu tayari imeingia tofauti na nyakati za zamani.

Kwa niaba ya Wastaafu ninakushukuru kwa Wastaafu kupata pensheni yao mapema.

Tunakuombea afya njema ili uweze kuliongoza Taifa.
kula pensheni zako, wapi pensheni imeingia. Ulaaniwe kwa kujikomba. Chawa wewe wa samia
 
Leo tarehe 24.3.2022 pensheni kwa Wastaafu tayari imeingia tofauti na nyakati za zamani.

Kwa niaba ya Wastaafu ninakushukuru kwa Wastaafu kupata pensheni yao mapema.

Tunakuombea afya njema ili uweze kuliongoza Taifa.
..."tofauti na nyakati za zamani".. Kweli hii ni propaganda!

Enzi za Magufuli kuna miezi pensheni za wastaafu ziliingia kabla ya mishahara ya wafanyakazi, au haulikumbuki hilo!

Halafu mi nadhani utararibu huo wa zamani wa kulipa wazee kabla ya wafanyakazi ungeenziwa, ni namna ya kuwaheshimu na ni adabu pia.

Maana hata tukiwa mezani kwenye mlo, wazee huanza kunawishwa na kula kabla ya vijana.

Hili la kuanza kulipwa mishahara wafanyakazi kabla ya wastaafu ni dharau ya kuonesha kuwa hawa wazee hawa uwepo wao hauna impact katika Taifa hili.
 
Utakuwa umestaafia peponi.

Wastaafu hatuna pa kusemea
Hili nalistaajabia hata mie!

Sijaona hata Mbunge ama kiongozi yeyote akitoa hoja kuelezea kuongeza pensheni "take home" za wastaafu, maana ni ndogo hata kununulia kauzu hazitoshi.

Tangia Rais Kikwete awajali wastaafu kwa kuwaongezea japo kidogo na kuwatoa kwenye mfumo wa kikandamizaji wa kulipwa baada ya miezi mitatu, sijasikia tena kiongozi yeyote analiongelea hili, ni zaidi ya miaka 10 sasa!

Mambo haya yanasababisha watu kuogopa kustaafu na kupelekea kufia maofisini ama kufa muda mfupi baada ya kustaafu.
 
Leo tarehe 24.3.2022 pensheni kwa Wastaafu tayari imeingia tofauti na nyakati za zamani.

Kwa niaba ya Wastaafu ninakushukuru kwa Wastaafu kupata pensheni yao mapema.

Tunakuombea afya njema ili uweze kuliongoza Taifa.

Mtanzania anashukuru kupata haki yake. Kuna chawa siku ingine atakuja kumshukuru President kwa yeye kufanikiwa kwenda msalani kwa wakati na kupata haja kubwa kwa wakati.
 
Pensheni ni nn ? Ni pesa za kinua mgongo au ni zile za kila mwezi baada ya kustaafu
Mkuu umetoa swali lenye majibu mbona?

Pensheni ni zile za kila mwezi zinazoendelea kulipwa baada ya kulipwa kiinua mgongo. Na kiinua mgongo (mafao), ndiyo zile za mkupuo zitolewazo baada ya kustaafu.
 
Leo tarehe 24.3.2022 pensheni kwa Wastaafu tayari imeingia tofauti na nyakati za zamani.

Kwa niaba ya Wastaafu ninakushukuru kwa Wastaafu kupata pensheni yao mapema.

Tunakuombea afya njema ili uweze kuliongoza Taifa.
Kutokupandisha vyeo na mishahara kwa watumishi miaka ile hivi nani anapaswa kufidia hasara waliyoipata
 
Masikini chawa mzee kaleta stori za kusadikika wazee wamemshushua kama mwewe.

Ewe chawa mzee A.K.A mstaafu kaa kwa kutulia
 
Back
Top Bottom