Mwana FA aliimba, " ..ukimegewa nawewe Tafuta wako ummegeee"....,,
CCM watakuwa waneelemewa kujiingiza kwenye siasa chafu,kwani hawatabaki salama....na Huyo Lowassa wanayempeleka akitoka Arumeru halitafaa dodoki.....kashfa zake za uhujumu uchumi zitakuwa wazi sasa ....Nashauri Chadema wasimame kwenye sera kwani juhudi za Kuwaondoa kuongelea mambo ya msingi ya nchi.....wajikite asilimia 80 kwenye sera na makampeni meneja...wabaki na asilimia 20 za kusawazisha matusi yanayotolewa na ccm...
Tukirudi kwenye suala la Wassira...Huyu bwana alienda marekani na mama watoto wake..(anayefanya kazi wizara ya afya)...akiwa kule WaJanja wakamkazia mkewe.....akajirudia bongo!...kufika bongo hasira za kuporwa mke akazihamishia kwa mzee casmir ndege....akawa Anatembea nae kwa Siri ...,hii ikiendelea Hadi Yule mzee wa watu ajkajifia ....wakati huo mzee wassira hakuwa na pesa kwani tayari alikuwa amehamia NCCR mageuzi ambako njaa ili kamata kweli....akawa Ameajiriwa Kama marketing manager kuuza pale Samaki-namanga,Alipauka kweli, aliekuwa Anamsaidia ni Huyu hawara Yake mke wa mzee ndege.....,kwa kutumia pesa ya marehemu mumewe...na waliikamua kampuni Yake Hadi ikakaribia kufa...,,baada ya Hali kuwa mbaya sana watoto wa marehemu mzee ndege ..wakaamua kufanya board resolution ya kumuondoa mama Yao wa Kambo kwenye kampuni.....,...wakati haya yakitokea mzee wassira naye tayari mambo yalishamnyookea..akawa amekuwa waziri..,safari hii yeye ndie akawa Anamsaidia hawara Yake ...Akamfungulia kampuni mpya inaitwa Gati insurance company..na mtaji juu...na wakati haya yanafanyika ndio wassira Alianza juhudi za kuhalalisha ndoa Yake ...Pia uhasama wake na ndugu za mzee ndege tarime na dar ukawa mmbaya...na Huyu mama akishirikiana na "mumewe"..waliendelea na juhudi kubwa za kuhujumu kampuni ya famiilia ya mzee ndege ianguke....hata kuwashirikisha watu wengine akimhisisha mtoto wa kiogo mkubwa kabisa.........
Hivi karibuni kampuni hiyo imefurushwa kwenye jengo lake la ofisi...pale mtaa wa Ghana na Mirambo...