Easymutant
R I P
- Jun 3, 2010
- 2,564
- 1,129
Mangungo! Unamaneno!!
Acheni upuuzi wa kufuatilia maisha ya watu.
Hii ndio TZ, Watu wote wachafu hasa viongozi. Si wa kiserikali, kichama wala kidini. Nchi hii haifiki popote, labda aje Malaika kutuongoza. Wizi mtupu. C.C.M. CUF. CDM. WIZI MTUPU.
i see
hao wanawake kipi kinacnowafanya wakimbie waume zao?
Hao wanaume wana matatizo gani hadi wanakimbiwa kimbiwa na wake zao?
Acheni upuuzi wa kufuatilia maisha ya watu.
Kinachosikitisha kwa Wassira ni kutelekeza familia zake za wake wa zamani. Kwa kweli wala hazipi matunzo.
Acheni upuuzi wa kufuatilia maisha ya watu.
Kumbe mzee Ndege alishafariki then huyo anakuwaje mke wa mtu?Ni Wasira huyuhuyu aliyefanya Mzee ndege kufa kwa presha baada ya Wassira kumpora mke kwa Kigezo cha Uwaziri,ni Wassira huyuhuyu aliyekula fedha za Ndege Insurance na kusababisha kampuni na familia ya Mzee ndege kusambaratika.