Wassira si msafi; achunguzwe!

Kumbe mzee Ndege alishafariki then huyo anakuwaje mke wa mtu?

Umeniwahi mkuu hata mimi nilitaka kuuliza hivyohivyo!!Mleta hoja tunaomba majibu tafadhari!

Kwanza kabisa inaonekana hamkumsoma na kumuelewa muanzisha thread. Anasema mzee wassira alianza kuishi na huyo mama mke wa marehemu Ndege wakati mumewe akiwa bado hai, hali iliyomsababishia presha na hatimaye akatangulia mbele ya haki.

Pili, nataka niwasaidie kuelewa japo kidogo mila za kikurya, hasa kwenye suala la ndoa. Kwa wakurya mwanamke anaolewa mara moja tu, ikitokea anaolewa mara ya pili ni hadi pale mwanamke huyo amepewa talaka na mumewe na familia ya mwanamke huyo wameweza kurudisha mahari iliyokuwa imetolewa kwa ajili ya kuolewa kwa binti yao. Sasa inapotokea mume amefariki, mahari haiwezi kamwe kurudishwa, na mwanamke huyo anabaki kuwa mke halali wa huyo bwana aliyefariki na familia ya mwanamke haiwezi kamwe kupokea mahari kutoka kwa mwanaume mwingine.Kwahiyo hata ikitokea amepata bwana na kuamua kuishi naye bado anahesabika ni mke halali wa bwana'ake wa awali.

Kwa muktadha huo ni dhahiri kwamba mzee wassira anaishi na mke wa marehemu Ndege, na anachofanya ni kulea familia ya mwanaume mwenzake, ambaye kwa namna moja ama nyengine yeye wassira alichangia kuivuruga familia yake pamoja na kampuni yake ya Ndege insurance ambayo kwa sasa sina uhakika kama bado ipo.
 
Acheni upuuzi wa kufuatilia maisha ya watu.

Alaah, kumbe kwa Wassira inakuwa upuuzi? Mbona Mudhihir alipofumaniwa na kukatwa mkono mlikaa kimya? JK ana wanawake wangapi wasio 'rasmi'? Kwenye eneo hilo kila binadamu ana udhaifu, kuteleza kupo. Magamba acheni propaganda uchwara.
 
Wassira janga la taifa lingine kama ambavyo ulivyo ukimwi...wassira anaweza kazi moja tu..KULALA BUNGENI WAKATI WABUNGE WENZAKE WAKIENDELEA NA MJADALA....
 
Wasira Aliwataka wakazi wa kata ya Kikwe kumuuliza Dk Slaa chanzo cha kufukuzwa upadri pindi atakapotia mguu ndani ya kata yao na kuwataka wakazi hao kutosikiliza sera za kiongozi huyo kwa kuwa si msafi wa kujipambanua kwamba anapambana na ufisadi nchini
 
Kashfa ya katibu wa chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema),Dk Willibrod Slaa imewekwa hadharani kwamba kiongozi huyo alifukuzwa upadri baada ya kutafuna mamilioni ya fedha zilizochangwa kwa ajili ya ujio wa hapa nchini wa Kiongozi wa Kanisa katoliki duniani papa katika miaka ya tisini
 
Haka kababu katachemsha kenyewe..kanajifanya kanajua matusi kumbe kenyewe ni kashenzi mara milioni 100..ni huyu Wasira aliyekula hela za NCCR na alipogundua kuwa ishu inaenda kumbumbulika akakimbilia CCM..
 
Wana JF mbona ni Wassira huyuhuyu alimpora Mzee Ndege Mke na wanaishi kama Wachumba? Na alijaribu kupeleka mahari Tarime akataliwa kuwa huyo ni mke wa mtu na Wakurya hawapokei Mahari mara mbili?ana usafi Gani kumuongelea DR Slaa wakati ni wasira huyuhuyu akiwa mkuu wa mkoa wa Mara alikula fedha za Hospitali ya Mkoa ambayo haipo hadi leo?,ni Wasira huyuhuyu aliyefanya Mzee ndege kufa kwa presha baada ya Wassira kumpora mke kwa Kigezo cha Uwaziri,ni Wassira huyuhuyu aliyekula fedha za Ndege Insurance na kusababisha kampuni na familia ya Mzee ndege kusambaratika..
Akae kimya aache mchezo uchezwe kwa wana siasa vijana

Wasira alieza kushangazwa na kitendo cha Dk Slaa kuishi maisha ya uchumba wakati akiwa na umri wa miaka zaidi ya 60 na kudai kitendo hicho kinashangaza umma wa watanzania pamoja na wafuasi wa vyama vya siasa nchini.
 
Wana JF mbona ni Wassira huyuhuyu alimpora Mzee Ndege Mke na wanaishi kama Wachumba? Na alijaribu kupeleka mahari Tarime akataliwa kuwa huyo ni mke wa mtu na Wakurya hawapokei Mahari mara mbili?ana usafi Gani kumuongelea DR Slaa wakati ni wasira huyuhuyu akiwa mkuu wa mkoa wa Mara alikula fedha za Hospitali ya Mkoa ambayo haipo hadi leo?,ni Wasira huyuhuyu aliyefanya Mzee ndege kufa kwa presha baada ya Wassira kumpora mke kwa Kigezo cha Uwaziri,ni Wassira huyuhuyu aliyekula fedha za Ndege Insurance na kusababisha kampuni na familia ya Mzee ndege kusambaratika..
Akae kimya aache mchezo uchezwe kwa wana siasa vijana
Kwa hiyo sasa wale akina Dr Ndege wanamwita baba Mzee Tyson,ningekuwa mimi kama huyo ni mama yangu,angekoma kuwa mama yangu siku alipoporwa na Tyson
 
Wassira janga la taifa lingine kama ambavyo ulivyo ukimwi...wassira anaweza kazi moja tu..KULALA BUNGENI WAKATI WABUNGE WENZAKE WAKIENDELEA NA MJADALA....

Wasira Alimtuhumu Dk Slaa Pia katika hatua nyingine anatuhumiwa kumfukuza kazi mhasibu wa chama hicho ngazi ya taifa kwa kosa la kukataa kutekeleza maagizo yake amlipe shilingi milioni 10 mchumba wake,Josephine Mushumbushi kitendo kinachotia mashaka ya uadilifu wa kiongozi huyo.
 
Wassira janga la taifa lingine kama ambavyo ulivyo ukimwi...wassira anaweza kazi moja tu..KULALA BUNGENI WAKATI WABUNGE WENZAKE WAKIENDELEA NA MJADALA....

Ivi pale club bilicanas ni vijana wangapi wanaharibika kwa kujiingiza kwenye umalaya na madawa ya kulevya kwa mwezi

mbowe tujibu tafadhali
 
naskia slaa alimpora josephine kutoka kwa mume wake walipokuwa majirani kule mbezi.kumbe ule usemi mpende jirani yako haufanyi kazi kabisa ee
 
anafanana na bibi zako kule kijijini ambao hata sabuni huwapelekei umeloea uchagani unatumwa tumwa tu.

Kwani we umezaliwa mbinguni? Bibi zangu japokuwa wako kijijini ni wazuri kwa uso tofauti na sokwe
 
Inaelekea mpambano wa Arumeru ni mkali sana hadi siasa za maji taka kuwa ndio ajenda kuu. Muasisi wa siasa za majitaka Mkapa amejeruhiwa vibaya mno na hizo siasa na yuko mahututi. Now Wasira ameingia choo cha kike na kuleta mtafaruku mkali kwa wadada wakidhania CHIMP kawavamia
 
Wasira huyu huyu aliekuwa mkuu wa mkoa Mara? Alifanya nini zaidi ya kuendekeza siasa za chuki na ugomvi wa kikabila? Amesahau kuwa alifukuzwa kazi hiyo ya ukuu wa mkoa na kutukanwa na mwl? Ashukuru uhusiano wake wa karibu na familia ya mwl vinginevyo elimu yake ya darasa la 8 isingemfikisha hapo alipo
 
Back
Top Bottom