Foundation
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 1,420
- 611
Lakini Mzee Ndege alikufa wakati wa Mkapa, wakati huo Wasira hakuwa Waziri. Hebu fafanua Mkuu
Acheni upuuzi wa kufuatilia maisha ya watu.
Alimchukua huyu mama kabla mzee Ndege hajafariki,mbona hamsomi thread mkaielewa mnarukia kupost tu?na kulikua na sababu gani zee zima kama wassira kumuacha mkewe na kwenda kumpora mke mzee Ndege!
Mwana FA aliimba, " ..ukimegewa nawewe Tafuta wako ummegeee"....,,
CCM watakuwa waneelemewa kujiingiza kwenye siasa chafu,kwani hawatabaki salama....na Huyo Lowassa wanayempeleka akitoka Arumeru halitafaa dodoki.....kashfa zake za uhujumu uchumi zitakuwa wazi sasa ....Nashauri Chadema wasimame kwenye sera kwani juhudi za Kuwaondoa kuongelea mambo ya msingi ya nchi.....wajikite asilimia 80 kwenye sera na makampeni meneja...wabaki na asilimia 20 za kusawazisha matusi yanayotolewa na ccm...
Tukirudi kwenye suala la Wassira...Huyu bwana alienda marekani na mama watoto wake..(anayefanya kazi wizara ya afya)...akiwa kule WaJanja wakamkazia mkewe.....akajirudia bongo!...kufika bongo hasira za kuporwa mke akazihamishia kwa mzee casmir ndege....akawa Anatembea nae kwa Siri ...,hii ikiendelea Hadi Yule mzee wa watu ajkajifia ....wakati huo mzee wassira hakuwa na pesa kwani tayari alikuwa amehamia NCCR mageuzi ambako njaa ili kamata kweli....akawa Ameajiriwa Kama marketing manager kuuza pale Samaki-namanga,Alipauka kweli, aliekuwa Anamsaidia ni Huyu hawara Yake mke wa mzee ndege.....,kwa kutumia pesa ya marehemu mumewe...na waliikamua kampuni Yake Hadi ikakaribia kufa...,,baada ya Hali kuwa mbaya sana watoto wa marehemu mzee ndege ..wakaamua kufanya board resolution ya kumuondoa mama Yao wa Kambo kwenye kampuni.....,...wakati haya yakitokea mzee wassira naye tayari mambo yalishamnyookea..akawa amekuwa waziri..,safari hii yeye ndie akawa Anamsaidia hawara Yake ...Akamfungulia kampuni mpya inaitwa Gati insurance company..na mtaji juu...na wakati haya yanafanyika ndio wassira Alianza juhudi za kuhalalisha ndoa Yake ...Pia uhasama wake na ndugu za mzee ndege tarime na dar ukawa mmbaya...na Huyu m
kaka wewe unamjua Wasira vizuri, hii ishu ya kuporwa mwanamkee US si ni enzi aliyokuwa anafanya ubalozi au? Maana ni very interestin story.
Mbowe ajibu ili iweje kwani BILCANAS NI GUEST HOUSE AU CLUB?Ivi pale club bilicanas ni vijana wangapi wanaharibika kwa kujiingiza kwenye umalaya na madawa ya kulevya kwa mwezi
mbowe tujibu tafadhali
Mkuu Phillemon Mikael. Asante sana! Hii imeniburudisha siku nzima ya leo. Lakini baada ya burudani hii unaingia ktk tafakuri ya kina imekuaje mtu mwenye matendo ya kishenzi namna hii leo ni waziri mwandamizi tena ofisi ya rais!!!Wassira akiombwa kufanya mkutano wa hadhara pale Namanga ,,msasani ..hatadhubutu.....maana baada ya kukusa pesa na pesa za hawara Yake kukata ...chambo pekee aliyokuwa alitumia kupata wanawake ni kumpiga bosi wake bao sangara na kuwahonga mama nitilie wa Maandazi road...ili Angalau apatee mechi za nje....wengine alikuwa akiwakopa hadi Leo wanamdai.........na hata anaogopa kwenda kumshukuru Yule yamaa mwenye lile duka la samaki "aliyemfunika na nguo ".....wanasiasa ni wasahaulifu sana...
Hii ndio TZ, Watu wote wachafu hasa viongozi. Si wa kiserikali, kichama wala kidini. Nchi hii haifiki popote, labda aje Malaika kutuongoza. Wizi mtupu. C.C.M. CUF. CDM. WIZI MTUPU.
Mkuu Phillemon Mikael. Asante sana! Hii imeniburudisha siku nzima ya leo. Lakini baada ya burudani hii unaingia ktk tafakuri ya kina imekuaje mtu mwenye matendo ya kishenzi namna hii leo ni waziri mwandamizi tena ofisi ya rais!!!
Acheni upuuzi wa kufuatilia maisha ya watu.
intelligence zinaonyesha kuwa, mke wa mr ndege kabla hajaolewa nae, ilikuwa loose ya wasira. alichofanya wassira na kuirudia loose yake ya long time. so tatizo nini?. nawashauri wapenzi wa Cdm mumshauri babu aache uzinzi. imani yake haimruhusu na si jambo la kiadilifu
mie ningependa hawa jamaa watafutiwe ukumbi tuwasikie live wakipeana mipasho. maana wote wachafu wana dhambi kubwa sana mbele ya Mungu. hapo juu mtoa mada amesema mzee ndege alifariki kwa presha ivi yule mme wa josophine yeye alipotezewa wapi mbona hakusikika tena?