Wassira si msafi; achunguzwe!

Mkuu kumbe ana skendo ya kula mpaka hela ya hospital?kweli huyu mzee ni muuaji!

Mi nilikuwa nadhani kashfa yake kuu ni ya kumpora mzee Ndege mke na kuisambaratisha familia tu,kwa kua hii kashfa naijua wazi wazi,na kwa kutumia cheo chake alitaka kummirikisha hawara wake hiyo ndege insurance,na alileta mkaraganyiko mkubwa sana,kiasi kwamba aliwarubuni watoto wa marehemu kama Amani na Seba wakaweza gawanyika na wengine kuitilafiana!nalijua ili vizuri
 
Kuna watu humu ukizungumzia machafu na meusi ya viongozi wao wanakuwa kama simba mweny njaa ijapokuwa wanakuwa wanajua uchafu wa viongozi wao.Tusidanganyane hapa viongozi wengi wa Kibongo wawe wa CCM au CHADEMA wote ni wezi tena ni mapaka Pori.Wakati fulani tukubali ukweli bana!!!
 
Halafu eti anataka Uraisi
Mkuu kumbe ana skendo ya kula mpaka hela ya hospital?kweli huyu mzee ni muuaji!me nilikua nadhani kashfa yake kuu ni ya kumpora mzee Ndege mke na kuisambaratisha familia tu,kwa kua hii kashfa naijua wazi wazi,na kwa kutumia cheo chake alitaka kummirikisha hawara wake hiyo ndege insurance,na alileta mkaraganyiko mkubwa sana,kiasi kwamba aliwarubuni watoto wa marehemu kama Amani na Seba wakaweza gawanyika na wengine kuitilafiana!nalijua ili vizuri
 
Umeniwahi mkuu hata mimi nilitaka kuuliza hivyohivyo!!Mleta hoja tunaomba majibu tafadhari!

Alimchukua huyu mama kabla mzee Ndege hajafariki,mbona hamsomi thread mkaielewa mnarukia kupost tu?na kulikua na sababu gani zee zima kama wassira kumuacha mkewe na kwenda kumpora mke mzee Ndege!
 
Sio tu kupora mke bali na kusambaratisha familia ya Mzee ndege na kuua kampuni
Alimchukua huyu mama kabla mzee Ndege hajafariki,mbona hamsomi thread mkaielewa mnarukia kupost tu?na kulikua na sababu gani zee zima kama wassira kumuacha mkewe na kwenda kumpora mke mzee Ndege!
 
Hakuna kitu kinachomfadhaisha mwanaume kama kuibiwa mke au mpenzi wake hasa kama mwizi anatumia kigezo cha kuwa na mali au wadhifa mkubwa.Jamaa hastahili kutupa tuhuma kwa wengine kwenye majukwaa wakati yeye ana boriti katika jicho lake.
Kuhusu tuhuma za ufisadi na hizo cheap embezzlement zenye kutia aibu siwezi sema sana kwa sababu last time i checked the whole of CCM is corrupt(kuvua magamba slogan) and they acknowledge it.

Warning: 'The mentioned ape is out of control' please report to the nearest zoo or vetenary..(Political Joke)

u make my day.
 
Mlikuwa wapi siku zote? baada ya yeye kuibuwa sakata la kuliwa fedha za kanisa na Slaa? kwi kwi kwi, teh teh teh.

kwani kashfa ya dr. Slaa kula ela ya kanisa yaliibuliwa na wassira? Au ka-update tu. Tatizo kumbukumbu ndogo, acheni kunywa viroba.
 
Shetani naye alikuwa malaika tena mkuu kabla ya kuasi pamoja na majeshi (mapepo & majini) yake.
Mkuu unamaanisha Majini na Mapepo ni Mashetani?? Mbona kuna waungwana wanadai vitabu vyao vinasema eti Majini ni ndugu zao? I mean Majini ni wajomba zao, shemeji zao, wake zao, waume zao na wengine ni Baba zao? Fafanua mkuu
 

Attachments

  • Wasira.jpg
    Wasira.jpg
    5.2 KB · Views: 496
Ivi jaman Wasira ni wakusema haya leo kweli? atuambie basi mke wake mama Rosemary Wambura mbona amemuacha na kwenda kuishi na mke wa mtu? na mbona huyu wasira halioni ***** lake? amewaambia wana arumeru kuwa kuna binti wa miaka 26 kampangia nyumba Dodoma au yake anadhani hayajulikani? na jana usiku alipokuwa amelewa Naura spring hotel akawa anaongea matusi ya nguoni bado tu ana udhu?
CHADEMA VYATUKENI NANYI.
 
Mi niliposoma gazeti la taarifa za wasira nilijua atajibiwa tu na bado mengi yanakuja at last JF itatangaza mgogoro nae rasmi.
 
Wana JF mbona ni Wassira huyuhuyu alimpora Mzee Ndege Mke na wanaishi kama Wachumba? Na alijaribu kupeleka mahari Tarime akataliwa kuwa huyo ni mke wa mtu na Wakurya hawapokei Mahari mara mbili?ana usafi Gani kumuongelea DR Slaa wakati ni wasira huyuhuyu akiwa mkuu wa mkoa wa Mara alikula fedha za Hospitali ya Mkoa ambayo haipo hadi leo?,ni Wasira huyuhuyu aliyefanya Mzee ndege kufa kwa presha baada ya Wassira kumpora mke kwa Kigezo cha Uwaziri,ni Wassira huyuhuyu aliyekula fedha za Ndege Insurance na kusababisha kampuni na familia ya Mzee ndege kusambaratika..
Akae kimya aache mchezo uchezwe kwa wana siasa vijana


Wasira Kachokoza Nyuki, angemwuuliza BWM yaliyomkuta.. arumeru ni kipima joto cha viongozi wa CCM, tusubiri lleo jioni Dr Slaa atajibu mashambulizi.
 
hahaha..
'ukimegewa demu wako nawe tafta mnyonge ummegee,haitapunguza maumivu ila itarudisha hadhi ya kiume'..
'ukitaka wako peke yako labda umuumbe mwenyewe'..
MWANA FA KICHWA SANA..
 
Back
Top Bottom