Haya hayawezi kuwa mambo binafsi kwa kuwa yanahusisha value za watu wetu. hivi tunawafundisha nini watoto wetu kama tutabaki kukumbatia viongozi wasio na maadili? Huyu bwana sijui anajiamini nini. Inasemekana tangu arudi kwenye awamu hii ameiba gari la serikali lenye thamani ya zaidi ya 250m alilopelekewa akalikataa lakini hakulirudisha na akapelekewa lingine tena la 350m. HaHii story tunayohapa habari lakini kwa kujipendekeza Bashe kaizuia isitoke, na kama kawaida yetu waandishi njaa tumenywea hata kwa kampuni inayotukopa mishahara. Mchezo huu unafanywa na viongozi wengi sana kutumia kodi zetu kuwapa anasa wake na watoto zao. Hivi unafahamu kwamba zaidi ya 50% ya mishahara na mapato yetu yanachukuliwa kama kodi? Kodi hii inayotumiwa na kikwete na maswahiba wake kutanua. Heb tuulizieni wasira juu ya magari haya. Eti wa mahusiano asante kikwete program mkishakua na kiongozi kilaza ni kazi kweli kweli. Ndio maana tunakubali kwamba 2015 ni mbali sana, tumepigika vya kutosha. Huyo mama mwenye tamaa alimtaka wasira kwa pesa za Ndege, luckily wakina Seba wakamshughulikia fairly, yaani shangingi aje kuchakachuliwa kwenye kitanda cha baba yako, hapo ndio nampa heshima zote seba, hayo ndio mnayaita mambo binafsi? hivi mtaanza lini kuwa serious?