Wassira si msafi; achunguzwe!

Wassira si msafi; achunguzwe!

Tukirudi kwenye suala la Wassira...Huyu bwana alienda marekani na mama watoto wake..(anayefanya kazi wizara ya afya)...akiwa kule WaJanja wakamkazia mkewe.....akajirudia bongo!...kufika bongo hasira za kuporwa mke akazihamishia kwa mzee casmir ndege....akawa Anatembea nae kwa Siri ...,hii ikiendelea Hadi Yule mzee wa watu ajkajifia ....wakati huo mzee wassira hakuwa na pesa kwani tayari alikuwa amehamia NCCR mageuzi ambako njaa ili kamata kweli....akawa Ameajiriwa Kama marketing manager kuuza pale Samaki-namanga,Alipauka kweli, aliekuwa Anamsaidia ni Huyu hawara Yake mke wa mzee ndege.....,kwa kutumia pesa ya marehemu mumewe...na waliikamua kampuni Yake Hadi ikakaribia kufa...,,baada ya Hali kuwa mbaya sana watoto wa marehemu mzee ndege ..wakaamua kufanya board resolution ya kumuondoa mama Yao wa Kambo kwenye kampuni.....,...wakati haya yakitokea mzee wassira naye tayari mambo yalishamnyookea..akawa amekuwa waziri..,safari hii yeye ndie akawa Anamsaidia hawara Yake ...Akamfungulia kampuni mpya inaitwa Gati insurance company..na mtaji juu...na wakati haya yanafanyika ndio wassira Alianza juhudi za kuhalalisha ndoa Yake ...Pia uhasama wake na ndugu za mzee ndege tarime na dar ukawa mmbaya...na Huyu mama akishirikiana na "mumewe"..waliendelea na juhudi kubwa za kuhujumu kampuni ya famiilia ya mzee ndege ianguke....hata kuwashirikisha watu wengine akimhisisha mtoto wa kiogo mkubwa kabisa.........
Hivi karibuni kampuni hiyo imefurushwa kwenye jengo lake la ofisi...pale mtaa wa Ghana na Mirambo...

Ooooh Wasira, unaona sasa? kumbe ulikuwa unalishwa na hawara?
 
Kumbe mzee Ndege alishafariki then huyo anakuwaje mke wa mtu?

Wakurya mke akishaolewa anaendelea kubaki kwenye ukooo ..hata mila za makabila mengi ndio hizo .......,mila nyingi zinamtaka mwanamke akiamua kuolewa upya. Aache Mali zote za marehemu kwa watoto wake au familia ya mumewe .....na kumfuata mumewe mpya.......
Hii mila ililenga kuzuia wanaume Kama Wasira Wenye kuvizia wake za watu au wajane Wenye pesa ili kudhulumu watoto Mali Zao...
 
kambarage yupi?anao wawili i guess.....
hivi ni kweli amezaa na binti wa Nyerere?

Kambarage na mmoja wa watoto aliozaa na mkewe wa ndoa ...aaliyeangaukiaga kwa penzi la mapopo....

Hajazaaaa na mtoto wa mwalimu...ila ana undugu wa kutafuta kwa toshi na mama Maria .......,wakati mambo yalivyomuwia magumu kiuchumi na hawara Yake kampuni kuelekea kufa ..baada ya kuzifuja pesa za mzee ndege kwenye siisa za NCCr.."wassira alienda msasani akatambaa kwa magoti tangu getini huku analia .....kumuomba mama akamuombee Msamaha ccm...arudi kundini......
 
ana watoto mpaka Waislam...sasa sijui
kwani kazaa na wanawake wangapi haswa?
ana watoto majina yanarudia rudia
utasikia Kambarage mkubwa,Masato mkubwa...lol
 
Hivi ulikuwa na umri gani wakati Wassira anauza samaki wabichi pale kona....:hand:

Wassira akiombwa kufanya mkutano wa hadhara pale Namanga ,,msasani ..hatadhubutu.....maana baada ya kukusa pesa na pesa za hawara Yake kukata ...chambo pekee aliyokuwa alitumia kupata wanawake ni kumpiga bosi wake bao sangara na kuwahonga mama nitilie wa Maandazi road...ili Angalau apatee mechi za nje....wengine alikuwa akiwakopa hadi Leo wanamdai.........na hata anaogopa kwenda kumshukuru Yule yamaa mwenye lile duka la samaki "aliyemfunika na nguo ".....wanasiasa ni wasahaulifu sana...
 
Hapo kwenye red umeniacha hoi! Hao wamama walikuwa wanavaa miwani ya giza? maana Wassira bila nguo sipati picha! Kweli kila shetani na mbuyu wake! lol!
 
Hivi mke/mume anaibiwa au anaondoka mwenyewe?:confused2:
 
Wana JF mbona ni Wassira huyuhuyu alimpora Mzee Ndege Mke na wanaishi kama Wachumba? Na alijaribu kupeleka mahari Tarime akataliwa kuwa huyo ni mke wa mtu na Wakurya hawapokei Mahari mara mbili?

Ana usafi Gani kumuongelea DR Slaa wakati ni wasira huyuhuyu akiwa mkuu wa mkoa wa Mara alikula fedha za Hospitali ya Mkoa ambayo haipo hadi leo? Ni Wasira huyuhuyu aliyefanya Mzee ndege kufa kwa presha baada ya Wassira kumpora mke kwa Kigezo cha Uwaziri,ni Wassira huyuhuyu aliyekula fedha za Ndege Insurance na kusababisha kampuni na familia ya Mzee ndege kusambaratika.

Akae kimya aache mchezo uchezwe kwa wana siasa vijana

Hivi ndio kusema DK Sebastina Ndege na Mdogo wake maisha yao pengine yamekuwa jinsi yalivyo yakiwa yamedhulika na madhara ya Mzee Wassira.Da poleni sana Seba na nduguyo sometimes Mungu anawapa mitiani lakini anakusudio la kuwajenga ninyi watoto.Wako wengi sana wameumizwa na aina hii ya wazee.Mungu atawalipa sana na ndio maana Dk Ndege nimepata picha kwa namna gani uliweza kuendesha kipindi cha NJIA PANDA kwa kuwa kumbe ULISHUMIZWA SANA na MUNGU AKAKUJENGA KUWA MSIKIVU WA MAUMIVU YA WENGINE ambayo nawe ulishayapitia UKAWAA SUGU PASIPO HIARI YAKO.Lakini Mungu alikuwa na sababu na siku za maisha yako MUNGU atakuinua kuwapa somo watesi wako na somo ndio hivyo linaanza kama ni kweli Mzee huyu alimzulumu Baba yenu mke na kumchanganya kiasi cha mzee kushikwa na msongo wa mawazo kisha kupoteza maisha poleni sana Seba na mwenzio Ncha Kali yote maisha.

Nakumbuka miaka ya Nyuma kuna Mogofu ya Hospitali kule musoma mjini ukipita Kigera Ituma uwende Mbele Rwamlimi kuna Hospitaliz nzuri sana iliyoanza kujengwa miaka ya themanini mwisho [Late 1980s] lakini mpaka sasa natumaini Hospitali hiyo nzuri kwa muonekano wa mbali ukiwa maeneo ya Nyakato na Nyasho uanweza kuiona kwenye vilima.Kwa kuwa ujenzi wake umefanyika juu ya vilima hivyo ni lahisi sana kuiona.Hakika inaniumiza sana kuwa Hospitali ile ambayo ilitegemewa kuwa ya kisasa miaka hiyo ya Themani Mwishoni ambayo nilikuwa nasikia kuwa ingekuwa ya rufaa.Nilikuwa mtoto leo mimi ni mtu mzima nakuja kujua kuwa chini ya mradi huo mzee huyu alizinyambalua fedha hizo hakika Nchi hii sipati picha.Ndio maana kumbe nilikuwa najiuliza na Mwalimu au Baba wa Taifa kutoka MUSOMA lakini Hospitali ile ilishindwa kujengwa kumbe Mwalimu alijua kuwa aliwapa Project watu wa Nyumbani mwao wakaikaanga wenyewe hivyo Mwalimu hakuwa na wa kumlaumu.

Hakika inauma inauma sana MUSOMA kuna Hospitli moja tu,na kama mnavyojua ndugu zangu wale kupeana maumivu ni JADI,je matibabu ya Kihospitali kile toka miaka ya 19....kweusi mpaka leo jamani.Ama kweli mjenga Nchi ni Mwananchi Mwenyewe na Mvunja Nchi ni Mwananchi Mwenyewe.Sikutegemea kujua ukweli huu kwa kuwa nilikuwa kadogo sana enzi hizo ukisikia Nyerere anakuja mnakwenda kumuona uwanja wa ndege kuona NGOMA na SALAKASI za kina Selemani kumchaya na ngoma za kina Mzee mmoja maalufu alikuwa anapiga NGOMa za MBEGETE, kwa wnyeji wa MUSOMA wanajua ila zaidi nilikuwa napenda kumshangaa Mzee Nyangombori.

Hakika Historia ujiludia leo JF imenisaidia japo kujua kumbe miasha ukupa nyakati na muda tu lakini ukweli ubaki palepale.

Mzee Wasirra angepata roho yenye kufanana japo kidogo sijui ni mdogo au ni mkubwa wake wake marehemu Wassira [Baba ya Msanii mmoja mwenye heshima kubwa sana Tanzania] hakika angekuwa ni moja ya watu wenye heshima ya hali ya juu sana.Hakika Marehemu huyo alikuwa ni mmoja ya wazee waungwana na wanaoheshimika sana sana na picha kidogo unaweza kuona kwa binti yake, kwa watu waliopata kuonana na Mzee huyo mikoa ya Shinyanga na Musoma [Bunda] wanajua picha ya busara za Mzee yule [RIP].

Nimejifunza na ninaendelea kujifunza mengi sana kupitia JF.
 
Unamzungumzia yule Ndege aliyekuwa Diwani wa kata ya Mwananyamala miaka ile. Yule mzee alikufa ghafla kwa presha.Yule mzee alikuwa anakaa karibu na vijana social hall kinondoni, kwenye lile ghorofa moja. Yule mzee namjua sana. Kama kweli kazi ipo
 
Wana JF mbona ni Wassira huyuhuyu alimpora Mzee Ndege Mke na wanaishi kama Wachumba? Na alijaribu kupeleka mahari Tarime akataliwa kuwa huyo ni mke wa mtu na Wakurya hawapokei Mahari mara mbili?

Ana usafi Gani kumuongelea DR Slaa wakati ni wasira huyuhuyu akiwa mkuu wa mkoa wa Mara alikula fedha za Hospitali ya Mkoa ambayo haipo hadi leo? Ni Wasira huyuhuyu aliyefanya Mzee ndege kufa kwa presha baada ya Wassira kumpora mke kwa Kigezo cha Uwaziri,ni Wassira huyuhuyu aliyekula fedha za Ndege Insurance na kusababisha kampuni na familia ya Mzee ndege kusambaratika.

Akae kimya aache mchezo uchezwe kwa wana siasa vijana

Haaahaaa! Kule Tarime tunamuita "Gatti". But Mzee Wassira asijiingize kwenye siasa za mambo binafsi ataumbuka
 
usafi gani mh..........facial transplant can help to resolve the issue..
 
mie ningependa hawa jamaa watafutiwe ukumbi tuwasikie live wakipeana mipasho. maana wote wachafu wana dhambi kubwa sana mbele ya Mungu. hapo juu mtoa mada amesema mzee ndege alifariki kwa presha ivi yule mme wa josophine yeye alipotezewa wapi mbona hakusikika tena?
 
Hii ndio TZ, Watu wote wachafu hasa viongozi. Si wa kiserikali, kichama wala kidini. Nchi hii haifiki popote, labda aje Malaika kutuongoza. Wizi mtupu. C.C.M. CUF. CDM. WIZI MTUPU.

kumi kwa kumi, 10/10
 
Back
Top Bottom