Hizi aibu amejitakia mwenyewe Kwa uchu wa madarakaInakuwaje mtu aliezaliwa 1955 ajiunge na TANU 1954.
Kwamba alianza siasa akiwa tumboni mwa mama yake?
Ukute Wasira hata hajui anamuongelea nani hapo.
CCM wampumzishe huyu mzee kabla hajajidhalilisha zaidi. Inatosha sasa.
View attachment 3563671
Unamlaumu bure mzee huyu mkuu aliemteua ndio zero brain zaidiInakuwaje mtu aliezaliwa 1955 ajiunge na TANU 1954.
Kwamba alianza siasa akiwa tumboni mwa mama yake?
Ukute Wasira hata hajui anamuongelea nani hapo.
CCM wampumzishe huyu mzee kabla hajajidhalilisha zaidi. Inatosha sasa.
View attachment 3563671
Wasira is a spent force!Inakuwaje mtu aliezaliwa 1955 ajiunge na TANU 1954.
Kwamba alianza siasa akiwa tumboni mwa mama yake?
Ukute Wasira hata hajui anamuongelea nani hapo.
CCM wampumzishe huyu mzee kabla hajajidhalilisha zaidi. Inatosha sasa.
View attachment 3563671
| Mzee Constantine Oswald Millinga mmoja wa waasisi wa TANU akiwa na rais Jakaya Kikwete |
Alivyoianza safari ya kwenda huko akiwa na wenzake watatu, alikusanya nguo zake akizitaja kuwa ni Kaptura ya ziada (Mtindo wa vijana wakati huo ilikuwa kuvaa Kaptura) shati na shuka.As far back as the 1940s, the Gold Mines of South Africa had set up what they called the Witwatersrand Native Labour Association (WNLA) later and more popularly known as Wenela. It was such a vast labour recruitment organisation that it spread its wings right across Southern Africa to Basutoland (Lesotho), Swaziland, South West Africa (Namibia), Bechuanaland (Botswana), Northern Rhodesia (Zambia), Southern Rhodesia (Zimbabwe), Nyasaland (Malawi), Angola and Mozambique. Labourers even went to the gold mines from as far as the Belgian Congo (DRC) and Tanganyika (Mainland Tanzania)! With time the acronyms Wenela and Soweto (South Western Townships) became words...https://www.herald.co.zw/purezha-the-germ-that-glitters-like-a-gem/
| maeneo ya nyumbani kwake mtaa wa Mhekela Mbinga mjini. |
| Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, ndugu Rodrick Mpogolo akiweka shada la maua katika kaburi la Muasisi wa TANU, Marehemu Costantine Millinga mara baada ya mazishi yake kufanyika leo Mbinga mjini |
Hilo ni boko la karne😅😅Hana tofauti na yule mchezaji wa cameroon, cheti kinaonesha kazaliwa 1990, mama yake kafariki 1987 🤣
Sioni tofauti na angejiunga 1754!Inakuwaje mtu aliezaliwa 1955 ajiunge na TANU 1954.
Kwamba alianza siasa akiwa tumboni mwa mama yake?
Ukute Wasira hata hajui anamuongelea nani hapo.
CCM wampumzishe huyu mzee kabla hajajidhalilisha zaidi. Inatosha sasa.
View attachment 3563671
Nimekumbuka ni mgabon, mama kafa 85, mtoto kazaliwa 90 🤣Hilo ni boko la karne😅😅
Mkuu, tunamchukia shetani bure tuu ila ukilinganisha maovu ya shetani na binadamu, bc binadamu ana maovu mengi kuliko shetaniCcm hakuna kitu chochote wanachokijua dunia hii. Nawachukia mno akitoka shetani anafuata ccm kwa kuwachukia
Du! Huyu mzee sasa apumzike siasa.Inakuwaje mtu aliezaliwa 1955 ajiunge na TANU 1954.
Kwamba alianza siasa akiwa tumboni mwa mama yake?
Ukute Wasira hata hajui anamuongelea nani hapo.
CCM wampumzishe huyu mzee kabla hajajidhalilisha zaidi. Inatosha sasa.
View attachment 3563671